TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

Acheni ulofa,ile tv ya mtu binafsi,ana maamuzi yake,hakulazimishi kuangalia acha ubwege!South kuna tv inaitwa chanel O,inapiga miziki tu,we utailazimisha isome taarifa ya habarii??Tusiwe malofa majani
 
we ndorooooobo kweli.kuna falisafa inasema "uhuru wako unakomea pale uhuru wa wengine unaanzia" huwezi kuruhusu watu wamtkune mtu mwngne et kisa unamilik station yako
 
Baada ya kukimbiwa na mapresenter wazuri pigo jngne kwa sahara media ikiwamo star tv itakuwa inachukiwa kama tbc inavyochukiwa na watu wengi ambao wanapenda amani ya nchi hii.
'
Star Tv mbona tumeiacha kitambo, mara mwisho mi nilikuwa nafuatilia ile tamthilia ya 'No Greater Love' na skuizi nahisi hawana mda tena kuionyesha saa zote ni ccm tu nimeamua na familia yangu kui-delete kwenye system ya TV haipo kabisa ata u-search vipi.
 
Katika hiki kipindi naangalia azam, TBC na star tv basi ..hizi tv hata zikiishiwa ntazichangia kiasi chochote kwasababu watz wazalendo sote tunaItegemea hizi chaneli ..wanywa viroba wao wanahisi wanamiliki ya kutupangia wao
 
Acheni ulofa,ile tv ya mtu binafsi,ana maamuzi yake,hakulazimishi kuangalia acha ubwege!South kuna tv inaitwa chanel O,inapiga miziki tu,we utailazimisha isome taarifa ya habarii??Tusiwe malofa majani

Huna point wewe, umekurupuka tu. Kupiga muziki kwa Channel O sio sawa na StarTV kumdhalilisha Lowassa.
 
Tayari Star Tv wameshaanza kuonja machungu ya ujinga wao. Biashara ya matangazo kwa sasa imedorora ile mbaya, hakuna makampuni yanayopeleka matangazo mapya tena, brand zao zikipeleka matangazo pale wateja wanazihusisha na CCM hivyo bidhaa zinakashwa.
Tutegemee huenda Star Tv ikawa ni Tv station ya kwanza kufa au kudumaa sana baada ya uchaguzi kwisha.
 
Hivi watanzania wote ni ukiwa acheni kukudanganya nani kakwambia tunaichukia tbc hivi nyie chadema mmeshindwa kuanzisha TV au radio yenu ili mtuondole makelele

Pumbuvuu sasa iyo tbc ni ya ccm, Tunasikitika coz hawatendi haki wakat wanajambajamba na familia zao kwa kodi zetu
 
Mimi nlikuwa napenda kipindi cha magazEti tu start tv lakini nacho kimeingiliwa. Kuna jamaa mmoja tu BULENDU naona kama anajitambua huwa nafuatilia kidogo vipindi vyake wengine wote tupa kulee
 
Tayari Star Tv wameshaanza kuonja machungu ya ujinga wao. Biashara ya matangazo kwa sasa imedorora ile mbaya, hakuna makampuni yanayopeleka matangazo mapya tena, brand zao zikipeleka matangazo pale wateja wanazihusisha na CCM hivyo bidhaa zinakashwa.
Tutegemee huenda Star Tv ikawa ni Tv station ya kwanza kufa au kudumaa sana baada ya uchaguzi kwisha.

Wishful thinking.
 
Baada ya kukimbiwa na mapresenter wazuri pigo jngne kwa sahara media ikiwamo star tv itakuwa inachukiwa kama tbc inavyochukiwa na watu wengi ambao wanapenda amani ya nchi hii.

Ichukiwe na wananchi mara ngapi?
Sasa hivi imebakiwa na kipindi kimoja tu cha habari, kile cha saa tatu usiku cha BBC...!
Watayajutia maamuzi yao very soon.., wamesahau wao wanafanya biashara, wakajilinganisha naTBC inayochota mapesa ya walipa kodi...!
 
Back
Top Bottom