Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,418
Tcra wanamshtaki MAx kwa kosa la kusajili web yake kutumia .com badala ya .co.tz
La kushangaza wao ni member wa muda mrefu na ni verified member ambao wanalipa matangazo yao hapa.
Pia wametumia sana platform hii kujitangaza. Sasa miaka yote hamkuona kosa hili la .com ila baada ya kukumatww maximo ? TCRA unaporidhia jambo kwa muda mrefu basi umehalalisha kuwa sio kosa hasa ikiwa wewe ndio msimamizi wa hilo kosa. Hivyo. Kwenu kuwa member hapa ni sawa na kuhalalisha .com
Kwa nini mnajiingiza kayika mambo ya kisiasa ?
Jamii form ni wazi iko katika vita vya kisiasa na inapigwa vita..na nyinyi chombo cha serikali mnasaidiavita hio ?
Wajibu wenu ilikua ni kuondoa membership yenu hapa na kuwaandikia wamiliki juu suala hili la kisheria. Sio kila kitu mahakama na kushtaki ....