TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

Usijifanya kujua mbali na url yako Max .ana Kampuni, imesajiliwa Breda Tanzania, ana leseni ya biashara ya mtandao na analipa Kofi. Masharti ya biashara uwe na URL code ya bongo huwezi acha

Sasa wewe ndo unajifanya.
Kuwa na domain name ya bongo ni useless na haina maana yoyote, zaidi ya kuweka mazingira ya kufanya biashara Tanzania na kuwekeza kuwa magumu zaidi.
Nimekwambia fikiria HUAWEI wapo nchi zaidi ya 50, sasa kila nchi ikiwa na sheria mbovu ya kijima kama hii ina maana kila sehemu wanunue IP address, wanunue domain na DNS records? Unwanted cost na usumbufu, wakati dunia ya leo ina demand "cut cost"

Pili ukiachana na Melo, nimekuwekea link ya leseni ya TCRA ambayo ina mblock new starters. Mwanafunzi anayemaliza udsm atapata wapi dola $15,000 ili kulipa pesa ya leseni kwa ajiri ya application yake aliyotengeneza ili ajiajiri. TCRA wana sheria mfilisi kwa Taifa na kwa watanzania kwa ujumla.

Harafu wakitoka hapo wanaimba wahitimu wawe wabunifu wajiari. It's mad, just to say the least.
 
Wewe umesajiri Kampuni Dar, umeomba leseni Dar, unataka Sheria na masharti ya biashara zitumike za Sweden!!! Max hama nchi kasajiri kampuni yako India

Halafu kibaya zaidi hiyo kampuni yaje inaongea ukweli unawaumiza hao waliotunga hizo sheria.Hata mimi ningeifungia, bora isifie wangalau hata ikisajiliwa Syria hamna shida.
 
Halafu kibaya zaidi hiyo kampuni yaje inaongea ukweli unawaumiza hao waliotunga hizo sheria.Hata mimi ningeifungia, bora isifie wangalau hata ikisajiliwa Syria hamna shida.

Sasa wewe utataka u develop vipi usipo accomodate differences? Hizo ni difficiences ndogo sana ambazo mnaweza zimaliza silently bila ku create turmoil inayosababisha kwa kutumia sheria mbovu kabisa za TCRA.
 
MkamaP nakuelewa na naona hoja zako, nilikuwa namkebehi huyo boya anayetumia nguvu. Kimsingi hiyo sheria imetungwa kwa nia ovu ua kudhibiti mitazamo tofauti. Na wabunge walioipitisha walipitisha kiitikadi na kwa wingi wao bila kujali maslahi ya wengine na ili kujilinda dhidi ya ukweli. Na kwa sasa hivi sheria hiyo ni kama upele umepata mkunaji.
 
Hawa TCRA na sheria zao inabidi wazirekebishe. Otherwise wanalirudisha Taifa nyuma. Sasa hivi Taifa lolote ni ngumu kujikwamua kama mambo ya eEconomy watayalia mizinguo na restrictions. Inatakiwa mtu aanzishe biashara yake ya eEconomy, just on snap, done. Mtu badala ya kumuwezesha mwananchi wako badala yake unamtilia restrictions za ajabu ajabu kabisa.
Eti domain usajiri uhuni tu. TCRA ondoeni hizo restrictions kuanzia huko kwenye domain mpaka kwenye leseni ambayo inatakiwa iwe affordable. Wangekuwa wanaongelea leseni isiyozidi $200 angalau ingeeleweka.
 
Tu politics,
Utaficha je ip address iliyokuwa assigned kwenye domain name? Hii ndo maana tunahoji usomi wa TCRA.
DNS records ni internationally public available huwezi ificha. Unajua DNS ni nini lakini na internet ina resolve je domain name na IP ADDRESS? Too sad kwakweli.
Kwa taarifa yako andika hivi ping domain yoyote duniani utaiona IP address ya hiyo domain. Sasa hadi sheria eti upeleke kwa kitu ambacho ni public available, it's total chaos.

Harafu TCRA, kweli wanaamini mtu anaweza ficha public ip address? Kama ndivyo hawa si wasomi

At some point you will realise that this isn't a college assignment.
 
At some point you will realise that this isn't a college assignment.
Nipe domain yoyote nikupe Public address yake. Hata kama unayo domain ya alshababu, lete nikupe Public address yake.
As per the matter accross the board, TCRA is doomed to fail. Hakuna maana yoyote ya mtu kwenda ku report IP address na domain yake since hivyo vitu ni public, come on dude.
Kama ni monitoring of traffic they could do it better by sniffing or mirroring the traffic out of the gateway. Na ku monitor traffic based on url if any, is just a childish game and nonsense.
 
Unaongea theory
"Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.
"

Maana ya nyeusi hapo inakutaka effectively server zako ziwe Tanzania. Sasa Ericsson walio na server zao Sweeden hawawezi pata IP address iliyoko Tanzania. Hawa ericcson itawabidi wahamishie server zao Tanzania. Which is ni kumfukuza asije kabisa.
Mkuu hapa Napingana na wewe.
With VPN,you can use Finland Assigned IP addresses from anywhere.
Sheria inataka kama Huja change domain from whatever to .co.tz then you need to submit your assigned Private IP addresses, kwa JF ni very Simple.
Kama kutahitajika somo la VPN niko tayari kuwaugulia wana JF
 
Ni wapi wamesema server yako lazima iwe Tanzania?

Ndio maana unaona makampuni mengi nchini yameendelea kutumia .com mpaka sasa kwa sababu sheria inawaruhusu kufanya hivyo lakini lazima kila mwezi wawe wanatoa taarifa kama bado wanatambuliwa na Regional Internet Registries.

Kumbuka hii sheria imeanza kwaka 2011.
Swali,Je JF imevunja sheria gani ?
Kuto ku submit Its IP addresses ama ?
Naomba tuanzie hapa
 
Mkuu hapa Napingana na wewe.
With VPN,you can use Finland Assigned IP addresses from anywhere.
Sheria inataka kama Huja change domain from whatever to .co.tz then you need to submit your assigned Private IP addresses, kwa JF ni very Simple.
Kama kutahitajika somo la VPN niko tayari kuwaugulia wana JF

Huwezi Mkuu.
Ili u connect VPN yako lazima u advertise public IP address yako kwa kutumia BGP protocol zilizo kwenye gateway ya service provider wako. First phase IKE na second phase negotiotins lazima zifail, no more no less.

Public IP address za europe haziwezi kuwa advertised kwenye border gateways za AFRINIC. Pink promise nakupa, Mkuu
 
Lol
Mkuu unajua kitu kinaitwa NAT ?
 
Kwani Leo ndio mnajua wasomi wa Tanzania ni mbumbumbu? Yaani Mimi Tz MTU hanisumbui hata akiwa na PHD 10! Mmemsahau yule msomi aliyekuwa anabembeleza ukuu wa mkoa? Wasomi wa Tanzania wamegoma kuwashauri wanasiasa ili Kodi za viwanja vya ndege zishuke itakuwa hiyo domain? Wasomi wa Tanzania si ndio wamebadili mihula ya private school wakidhani paerfomance zitashuka sawa na shule za Serikali lakini elimu zao hazikuwaambia mazingira bora ya shule na walimu ndio mafanikio? Wasomi wa Tanzania ni hovyo! Wamesomea vyeti na sio Intelligent!
 
Lol
Mkuu unajua kitu kinaitwa NAT ?

Ndiyo , sasa Assume Server zako ziko Finland anaye host ni amazon. Unachukua Public ya AFRINIC utaiweka wapi ili u NAT ifanye kazi.
Na IP ipi utaisajiri kwenye DNS kati ya AFRINIC ama waliokupa AMAZON?? na IP ipi itakuwa advertised kwenye border gateway ya europe? na je Utachange infrstructure za amazon utie ka address kako kamoja ka AFRINIC? Hebu elezea vizuri tujifunze.
 
Kuwa na AKILI na kusoma ni vitu viwili tofauti.
Hata hivyo, ni bora sana mtu mwenye akili awe msomi kwani hata wapumbavu pia wamesoma kwa viwango vya juu.
 
TCRA wamelichukulia hili jambo kwa matakwa ya kisiasa zaidi kuliko uweledi. Hivi kama nahost domain yangu hostgetor nitakuja kurejista hizi IP address TCRA ili wafanye nn?. Kuna haja ya watu kuwa na misimamo ya kitaluma na sio kufuata matakwa ya kisiasa.
 
Wao, nafikiri wanataka servers zako ziwe Tanzania. Ha ha ha ha, ndo walidhamiria.
hii ya kuregister IP na domain ni nonsense at the highest order possible. Kama ulivyosema ukiwapelekea IPs za hostgator watazifanyia nini, kama sio usumbufu wa kitoto.
Sasa wakitaka servers zako ziwe Tanzania, sijui hata wanaelewa maana ya hosting nini hasa ktk gharama kuhost server binafsi. Ama wanataka kukatanza watanzania wasihost kwenye servers za nje. Yani hawaeleweki na sheria yao ya kijima.
 
Hawa TCRA na sheria zao inabidi wazirekebishe. Otherwise wanalirudisha Taifa nyuma. Sasa hivi Taifa lolote ni ngumu kujikwamua kama mambo ya eEconomy watayalia mizinguo na restrictions. Inatakiwa mtu aanzishe biashara yake ya eEconomy, just on snap, done. Mtu badala ya kumuwezesha mwananchi wako badala yake unamtilia restrictions za ajabu ajabu kabisa.
Eti domain usajiri uhuni tu. TCRA ondoeni hizo restrictionts kuanzia huko kwenye domain mpaka kwenye leseni ambayo inatakiwa iwe affordable. Wangekuwa wanaongelea leseni isiyozidi $200 angalau ingeeleweka.

Hapo ndipo sisi maboya tunahoji ninyi wasomi, watu kutumia mitandao Kutukana, kuzusha uongo, kujenga hofu katika jamii, kunakuzaje Uchumi?

Sheria iliyoundwa na Bunge la JMT ikaundiwa chombo (TCRA) cha kusimamia utekelezaji wa sheria hiyo, itaitwaje eti sheria ya chombo hicho? Na chombo hicho kina ubavu gani wa kuzibadilisha hiyo sheria? Hii ni sawa na kusema TRA wasisimamie sheria ya ukusanyaji Kodi sababu ni sheria ambazo watu fulani wawazipendi.

Hatua ya kwanza muhimu kwa binadamu kutatua tatizo linalokukabili, ni kujua na kukubali kuwa una tatizo. Usipoanza na hili itakuwa vigumu kuondokana na tatizo. Jamii forums wakitambua hawaendani na sheria za sasa za nchi ni kuangalia jinsi ya kujipanga ili waendane nazo si kutaka kupambana kwa kujifanya hawazikubali kanuni za mchezo hawatalimaliza tatizo.

TCRA pamoja na kusimamia ukuaji wa secta ya mawasiliano lakini pia inasimamia maudhui kwa ajili ya USALAMA wa taifa hili Kiuchumi na Utamaduni kwa sheria zilizotungwa na BUNGE sio TCRA
 
TCRA inatakiwa kuwa na wataalamu na pia waende na muda kwa tech inavyoenda mbio sheria zingine zitahitajika kurekebishwa kwa kila mwaka. Huwezi kumzuia mtu kupata habari siku hizi. Pole sana serikali isiyopenda kukosolewa wa mwachie max wajaribu kuhack jamiiforum kwa utaalam wao lkn hata wakodi kikosi cha kutafuta taarifa za ndani za jf
 
Back
Top Bottom