Hahaha nimecheka sana Mkuu!Haya mambo ya simba kujiita timu bora wakati miaka 5 hawajashinda nafasi ya kwanza ndo yametufikisha leo hapa asenal, tunajisifia kucheza pasi pasi nyingi wakati wenzetu pas mbili goli wanabeba ubingwa
Kitenge ameweka ushabiki maandazi mbele kuliko fani yake ya utangazaji,,,,, ila nadhani ana Marengo baadae yakuja labda kugombea nafasi ya uongozi yanga, ndiomaana ameweka fani yake pembeni nakuonyesha ushabiki wa team yake ya yanga,,,dawa yake wachezaji au au viongozi wa simba wasikubari wala kupokea Simu yake akitaka kuwahoji jambo fulani, wamwambie hawapigie team yake Yanga
Simba mmezifanya nini radio za bongo kila radio inawaponda, clouds inawaponda kila siku, saiv efm tena, MMEKWISHAAAA!!!!!!!!!!