TCRA kwanini Efm Radio isiitwe tu Yanga FM?

Radio nzuri Sana ndo nafungulia kusikiliza michezo.
Hiyo sio kazi ya tcra Bali n ya majizzo.
 
Kama simba inazungumzwa dakika 45 na yanga inazungumzwa dakika 3 inabidi iitwe simba fm na wala Si yanga
 
Kitenge ameweka ushabiki maandazi mbele kuliko fani yake ya utangazaji,,,,, ila nadhani ana Marengo baadae yakuja labda kugombea nafasi ya uongozi yanga, ndiomaana ameweka fani yake pembeni nakuonyesha ushabiki wa team yake ya yanga,,,dawa yake wachezaji au au viongozi wa simba wasikubari wala kupokea Simu yake akitaka kuwahoji jambo fulani, wamwambie hawapigie team yake Yanga
 
Haya mambo ya simba kujiita timu bora wakati miaka 5 hawajashinda nafasi ya kwanza ndo yametufikisha leo hapa asenal, tunajisifia kucheza pasi pasi nyingi wakati wenzetu pas mbili goli wanabeba ubingwa
Hahaha nimecheka sana Mkuu!

Umenikumbusha kuna jamaa aliletaga Uzi wake humu saa kadhaa baada ya Yanga SC kutwaa Ndoo.

Alikuwa akizungumzia kuwa simba ndio timu bora Bongo kwa miaka 5 iliyopita kwa kuwa wamepiga jumla ya pasi nyingi kuliko timu yeyote Bongo.
 
Kitenge ameweka ushabiki maandazi mbele kuliko fani yake ya utangazaji,,,,, ila nadhani ana Marengo baadae yakuja labda kugombea nafasi ya uongozi yanga, ndiomaana ameweka fani yake pembeni nakuonyesha ushabiki wa team yake ya yanga,,,dawa yake wachezaji au au viongozi wa simba wasikubari wala kupokea Simu yake akitaka kuwahoji jambo fulani, wamwambie hawapigie team yake Yanga

Umenena vyema sana Mkuu.
 
Simba mmezifanya nini radio za bongo kila radio inawaponda, clouds inawaponda kila siku, saiv efm tena, MMEKWISHAAAA!!!!!!!!!!
 
Simba mmezifanya nini radio za bongo kila radio inawaponda, clouds inawaponda kila siku, saiv efm tena, MMEKWISHAAAA!!!!!!!!!!

Ni bahati mbaya sana tu ni kwamba wengi wa hao Watangazaji ni Wanazi / Mashabiki wazuri mno wa Klabu ya Yanga.
 
Back
Top Bottom