TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

Sijawahi wala sina mpango wa kushiriki michezo
mkuu mimi hiyo biko wala sijui wanachezaje ila wananitumia sms.Juzi nimewawakia huduma kwa wateja wakasema nipige simu biko wakanipa namba ajabu namba zao muda wote zinatumika nikashindwa.
 
Kumbe tupo wengi?? Afadhali hata basi uwe unacheza lakini unakuta huchezi hata kidogo lakini message non stop asubuhi hadi jioni... That's embarassing
One of the most disturbing things in the sms is the unsolicited mails from various companies. TCRA should take action against these companies because their actions are uncalled for.
 
One of the most disturbing things in the sms is the unsolicited mails from various companies. TCRA should take action against these companies because their actions are uncalled for.
Yap yap...na nilijaribu kuwapigia voda hamna msaada wa maana hata walionipa...wanasema wao hawahusiki
 
Kitaalamu linaitwa Vgocinesis ni tatizo la kusumbuliwa na mtandao kwa matakwa ya wafanyabiashara wawili waliopatana pasipo ushiriki wako katika mapatano yao.
 
Hiyo izi ni sms zinatumwa ili kukujulisha nini kinaendelea nchini. Kuna watu wanatumia simu za battani azina whatsApp wala jf lakini wanatumiwa sms umepokea mb 100 za WhatsApp. Je? Na hao nao wakilalamika itakuaje?

Ukiona sms imeingia kama haikuhusu futa endelea na mishe mishe yako.
hujui na hujijui kama hujui
 
Hizi sms mara nyingi uwa wanatumiwa walewalioshiliki huu mchezo. Ni mara chache sana kutumiwa sms mtu ambae hajacheza
Sa mbona mi wananitumia hasa hao Biko sport na huku huo mchezo sijawahi ucheza..!!!
 
Hizi sms mara nyingi uwa wanatumiwa walewalioshiliki huu mchezo. Ni mara chache sana kutumiwa sms mtu ambae hajacheza
Sio kweli, hata kama hujawahi unatumiwa tu...kibaya zaid ni kama una simu ya laini mbili..unaweza kuitupa
 
Inakera sana kwa na sijui ni namna gani tutakuja!
Jumapili niliwapigia Vodacom kuwaeleza huu kero na ushenzi wa meseji kutoka kwa kampuni za kubashiri i.e BIKO, Tatu mzuka, mkekabet kuja kwa simu yangu nikaomba wanitoe kabisa na sitaki tena kutumiwa hizo jumbe, eti wakasema wao hawahusiki kwa chochote na kama kutoa niwapigie kampuni husika za kubashiri au niwapigie TCRA na kutoa malalamiko yangu.
Mkuu,
Bado hujafungua hata shauri mahakamani? voda na huyo bikosport wanakuwa washtakiwa,watatajana wwnyewe tu huku ukilipwa fidia za usumbufu na pengine kujaza inbox yako na kukukosesha taarifa za maana.
 
mambo ya biashara hayo, kipindi unanunua hiyo line ulikubali vigezo na masharti yao
 
Inakera sana kwa na sijui ni namna gani tutakuja!
Jumapili niliwapigia Vodacom kuwaeleza huu kero na ushenzi wa meseji kutoka kwa kampuni za kubashiri i.e BIKO, Tatu mzuka, mkekabet kuja kwa simu yangu nikaomba wanitoe kabisa na sitaki tena kutumiwa hizo jumbe, eti wakasema wao hawahusiki kwa chochote na kama kutoa niwapigie kampuni husika za kubashiri au niwapigie TCRA na kutoa malalamiko yangu.
swali n kwamba nani aliwapa biko namba zako
 
Hiyo izi ni sms zinatumwa ili kukujulisha nini kinaendelea nchini. Kuna watu wanatumia simu za battani azina whatsApp wala jf lakini wanatumiwa sms umepokea mb 100 za WhatsApp. Je? Na hao nao wakilalamika itakuaje?

Ukiona sms imeingia kama haikuhusu futa endelea na mishe mishe yako.
Nadhani kuna kitu hujaelewa kwenye hii mada. Point ni kwamba hizo texts zimekuwa kero. Pata picha kuna muamala unausubiri kwa hamu ila simu inatoa mlio kugungua unakutana na wakina Biko. Imagine vile wamekukata moto.

Hapo mwishoni umeongea kitu muhimu lakini ilitakiwa iwe hivi, kama text hanihusu basi na isiingie kwenye simu yangu. Vinginevyo ni usumbufu.
 
Wanatangaza viwanda vipya vya kubeti ili watz tutusue. Makuku hawa jamaa
 
[emoji625] Tumerudi hewani Karibu Jamvini,bet na Biko Sports ujishindie mshiko na safari ya kushuhudia el classico,jamvi la leo lina deportivo vs las palmas na Girona vs Levante,ingia www.bikosports.co.tz

[emoji753] Chelsea vs Everton, Tottenham Vs West Ham United, Getafe Vs Alavase. Odds Tamu Kulikoni www.bikosports.co.tz
Cheza Tusepe Spain

TusepeSpain kuangalia Live El-Classico Desemba 20. Kila ubashiri unakupa nafasi 1 ya droo. LEO Sociedad-Espan(3usiku),Depor-Girona(4 usiku) www.bikosports.co.tz

KERO KERO KERO
 
BiKo ni wezi waTz msipende vya urahisi mtaibiwa mpaka mnye
 
Mm huwa nashangaa pale mshindi wa biko anapopigiwa sim kuwa ameshinda milioni hamsini,hashtuki na furaha kama kalazimishwa.

Promo wanayopiga ni hatari.
 
Back
Top Bottom