TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

TCRA tafadhali tuna uhakika dhamana yenu itasaidia kukomesha message zisizoombwa na watumiwaji na kwamba kimsingi hili ni kosa hasa kila saa utapata message ya mara biko nk. Mitandao msikubali kutumiwa kijinga na biashara nyingine kama wanataka wapite mlango kwa mlango au wapate kibali cha TCRA kusumbua raia. Huu ni ujinga mkubwa sana na mnawasumbua raia katika shughuli zao za uzalishaji. Naomba kuwasilisha
 
Na voda napo kuna tatizo sugu,kitendo tu cha kuacha muda wa maongezi tuu kwenye sim lzm wakate bila ridhaa yako kwa kukutumia sms za PERUZI,wananikera hao
 
Hizi sms mara nyingi uwa wanatumiwa walewalioshiliki huu mchezo. Ni mara chache sana kutumiwa sms mtu ambae hajacheza
 
Toka nmehamia halotel hii kero imekwisha kabisa
 
Hizi sms mara nyingi uwa wanatumiwa walewalioshiliki huu mchezo. Ni mara chache sana kutumiwa sms mtu ambae hajacheza

Kila mtanganyika siyo mcheza biko nadhani na si kweli kama inatumwa kwa wachezaji pekee na hilo wanajua. Hata kama walituma kwa waliocheza basi kuwe na jinsi ya kujitoa ikiwa ni hivyo ambavyo si la.

TCRA wana-dhamana na mamlaka ya kuchunguza na kukomesha. Zama za kuwapatia watu habari wasizohitaji umepita na la sivyo tutawachukulia hatua za kisheria hao wote wanaotuma hovyo message kwenye simu namba bila ridhaa kutoka pande zote.

Hii ni onyo kufanya ipasavyo kwa watu na biashara zao.
Asante kwa mchango wako.
 
biko nishida na kero kila saa hata sijawahi kushiriki na sijui wanachezaje
 
Hilo tatizo limekuwa kero sana kwangu, zinaingia hata SMS 20 kwa siku, niliwasiliana na watoa huduma wakaniambia kama download application za kublock SMS zinaweza kukusaidia pumbaf kabisa yule jamaa aliyekuwa zamu siku ile
 
Kila mtanganyika siyo mcheza biko nadhani na si kweli kama inatumwa kwa wachezaji pekee na hilo wanajua. Hata kama walituma kwa waliocheza basi kuwe na jinsi ya kujitoa ikiwa ni hivyo ambavyo si la.

TCRA wana-dhamana na mamlaka ya kuchunguza na kukomesha. Zama za kuwapatia watu habari wasizohitaji umepita na la sivyo tutawachukulia hatua za kisheria hao wote wanaotuma hovyo message kwenye simu namba bila ridhaa kutoka pande zote.

Hii ni onyo kufanya ipasavyo kwa watu na biashara zao.
Asante kwa mchango wako.
Hiyo izi ni sms zinatumwa ili kukujulisha nini kinaendelea nchini. Kuna watu wanatumia simu za battani azina whatsApp wala jf lakini wanatumiwa sms umepokea mb 100 za WhatsApp. Je? Na hao nao wakilalamika itakuaje?

Ukiona sms imeingia kama haikuhusu futa endelea na mishe mishe yako.
 
Hizi sms mara nyingi uwa wanatumiwa walewalioshiliki huu mchezo. Ni mara chache sana kutumiwa sms mtu ambae hajacheza
Okay je na hizi nnazotumiwa mm za Peruzi na sijawahi kushiriki kwenye hayo mavitu yao?
 
Hiyo txt pamoja na ile ya UNA MB 125 zinaniboa sana Tigo kama mnapita humu jaribuni kuzikomesha!!.
 
Hilo tatizo limekuwa kero sana kwangu, zinaingia hata SMS 20 kwa siku, niliwasiliana na watoa huduma wakaniambia kama download application za kublock SMS zinaweza kukusaidia pumbaf kabisa yule jamaa aliyekuwa zamu siku ile
Pambaf zake tena, kwa ushaur wake huo kaona kamalizaa kabisa tatizo lako mkuu
 
Ni kama wana KICHAA....Kulazimisha mtu kucheza Kamali, kisa mnauwezo wa ku-access akaunti yake, na kuona anana uwezo wa kuweka airtime ama kujiunga na "Bando"
 
Hawa biko kila siku wananitumia mesej kupitia voda nasijawah kucheza..nahis voda wanapata commission wakituma meseji hzo Maan nikama wanatangaz kilazima
 
BIKO wanaboa sana. Sijawahi kucheza lakini kila siku natumiwa mimeseji kibao.
TRA walipisheni kodi za matangazo muongeze mapato.
 
Back
Top Bottom