TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

TBT: Unakumbuka nini enzi ya Ngorika ikitamba?

Asilimia kubwa za madereva wa mabasi ukikaa mbele au siti za mbele utatamani uhamishwe

Hiyo ya kuachia usukani niseme ni kawaida niliwah kupanda simba ikapita bagamoyo dereva anachat kabisa wasap wanagongeana na konda akaenda ingia kwenye shimo tulitoka ubungo saa tisa lakini nilifika home tanga saa saba za usiku
[emoji52]Polee madame!
 
Hilo la tanga lililobakia limekongoroka vibaya yan sio ngorika za enzi zile ni heri nipande freys kama tahmeed na kapricon nimekosa
Ngorika Ya Tanga - Arusha
Liko Hoi Haa😁😀😂😂😄
Hata Mvuto Halina
 
Asilimia kubwa za madereva wa mabasi ukikaa mbele au siti za mbele utatamani uhamishwe

Hiyo ya kuachia usukani niseme ni kawaida niliwah kupanda simba ikapita bagamoyo dereva anachat kabisa wasap wanagongeana na konda akaenda ingia kwenye shimo tulitoka ubungo saa tisa lakini nilifika home tanga saa saba za usiku
Ungemkata kofi la Uso..[emoji3][emoji3]
 
Mkuu, nilikua nimekaa siti ya nyuma akitoka dereva, kila alichokua anafanya ninaona nilijuta hata kwa nn nimepara ile siti tulivyoingia kwenye shimo halaf tajiri akamwambia naleta gari ifaulishe abiria lakini nalitaka gari leo lilale tanga nikiwa nae tumesimama yule kaka alisawijika tulikaa pale mpaka nilijuta kwa nn nimeondoka dar na kwa nn nikapanda gar ile na why nimeondoka muda ule tulifaulishwa lakini ndio saa saba naingia tanga niko hoi
Ungemkata kofi la Uso..[emoji3][emoji3]
 
Kuna moja walikuwa wa naweka vigoda kipindi cha Christmas unakaa na tako moja hadi unasema yatosha.... Kwenye bumps ni mwendo wa kurushwa
Yatosha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asilimia kubwa za madereva wa mabasi ukikaa mbele au siti za mbele utatamani uhamishwe

Hiyo ya kuachia usukani niseme ni kawaida niliwah kupanda simba ikapita bagamoyo dereva anachat kabisa wasap wanagongeana na konda akaenda ingia kwenye shimo tulitoka ubungo saa tisa lakini nilifika home tanga saa saba za usiku
Aisee ukikaa mbele pale unaweza ukashuka kabla ya haujafika unapoenda
 
Naikubali sana ngorika naikumbuka wakati nasoma IAA ilikua hatari chini ya dereva mmoja anaitwa manyaunyau aisee ikifika pale mianzin inapigwa kinoma alafu ina wapambe balaaa, natamani hii kampuni ije huku kucn maana ingeleta mabadilko Makubwa
 
Dhaaaaaaa kwakwel nataman sana
Zama za ngorika Na buffalo zirud tu yan

Sasa hivi tochi nyingi hata hakuna
Amsha amsha kwenye roads kama
Zaman

Now unatoka Dar saa moja unafika
Mosh saa Tisa jau kweli
 
Nilikata ticket ya kwenda Arusha, lakini nilishukia Mkata.
Mwendo wao ulikuwa hatari. Koswakoswa nyingi. In short it was a risky travel.
Nilisubiria Sumry za Mbeya nikaendelea na safari yangu
Hahaa ulikubali kula hasara
 
Back
Top Bottom