Haha kumbe unakumbuka ndugu?!Saba mchana A town?
Kuna mRume ndago alishawahi kuingia Mbeya Saba mchana akitokea Dar. Km 850
Haha kumbe unakumbuka ndugu?!Saba mchana A town?
Kuna mRume ndago alishawahi kuingia Mbeya Saba mchana akitokea Dar. Km 850
League yao na buffalo iligharimu maisha ya wengi,,hasa baada ya ile ajali ya Buffalo Tanga!!Kwa miaka ile ya 2000 kuvuka mataa ya Ubungo wa kwanza anabeba mzigo,,Wale wadau wa ruti ya Arusha Dar, unakumbuka nini enzi mabasi ya Ngorika yakitamba?
Ulishawahi kusafiri na kampuni hii? Kama kuna lolote tushirikishane, tukumbushane!
KaribuniView attachment 1099493
Ulifika saa ngapi Dsm. Huyu Tazanite ndo Dar Lux mtu mmoja auKuna mnyama Tanzanite, anakuja kuwa tishio route ya kanda ya ziwa. Jana nimempanda kuja dar,alikuwa anatoana nduki na Ally's,huyo Ally's tulimpoteza mapema kabisa toka pale shinyanga kaja kutukutia ubungo.
Kuna siku Bufallo aliongia Mbezi mwisho 6.30 mchana akitokea ArushaJamaa walikua noma nakumbuka Mbezi Luis wapiga debe walikua wanabet nani atakua wa kwanza kufika Kati ya Ngorika na Buffalo. Kuna siku niliingia A town saa saba mchana!
Ngorika imebadilishwa jina siku hizi zinaitwa Kapricon watoto wa mzee MbereseroHilo la Tanga lililobakia limekongoroka vibaya yani sio ngorika za enzi zile ni heri nipande freys kama Tahmeed na kapricon nimekosa
Saa 5 na roboUlifika saa ngapi Dsm. Huyu Tazanite ndo Dar Lux mtu mmoja au
wee hizi kapricon ofisi yao ilipo mkabala na ofisi za rahaleo??? kapricon ni ngorika za zamani?? ndio mana hapo ofisini pia ilikua unaweza kata tiket za ngorika loh umenifungua machoNgorika imebadilishwa jina siku hizi zinaitwa Kapricon watoto wa mzee Mberesero
Anaitwa Giriki huyo fundi!! Kufika stand kuu tu akapokelewa na polisi akapitiliza lockupSaba mchana A town?
Kuna mRume ndago alishawahi kuingia Mbeya Saba mchana akitokea Dar. Km 850
Ndo wanaomikiki Kimotco Osaka na NgorikaBaada ya kufa kwa mmiliki wake, watoto wanagombania mali, wameingia kwenye mgogoro mkubwa
Kikotco na ngorika zote ni za watoto wa huyo mzee Mbereserowee hizi kapricon ofisi yao ilipo mkabala na ofisi za rahaleo??? kapricon ni ngorika za zamani?? ndio mana hapo ofisini pia ilikua unaweza kata tiket za ngorika loh umenifungua macho
ndio mwenye ile hospital ilioko karibu na katani ltd tanga??Kikotco na ngorika zote ni za watoto wa huyo mzee Mberesero