...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

...unaenda kupima unakuta vipimo navyo ni FEKI unaambiwa ni negative kumbe tayari trojans damuni.. Tanzania bila u-feki haiwezekani!
 
Fake Condoms+fake ARVs+fake makalio+fake waganga wa kienyeji wa kuongeza nguvu za kiume na mvuto wa mapenzi+fake guest houses+fake polisi+.....=?

The country is so unique with citizen of magic and leaders of high pathetic!!!!!!

Mkuu, nimeipenda iyo line yako ya mwisho.
 
Kama Tanzania inaongozwa na rais fake sembuse condom? hii ndio bongo bwana!
 
mliozoea mikondom za mirangi rangi mtakomaje,pressure juu,mi akuuu,chimo,chalama köndoms ndo mpango mzima
 
.

Shirika la viwango Tanzania TBS limetahadharisha Watanzania kuhusu uwepo wa Condom bandia zilizozagaa kwenye maduka ya dawa ziitwazo MELT ME zilizotengenezwa India.
Mara ya kwanza zilikamatwa bandarini Dar es salaam kwa kosa la kutokaguliwa katika nchi zilizotoka mapema August ambapo mamlaka hiyo iliagiza zirudishwe India.
Kaimu Mkurugenzi wa TBS Leandri Kinabo amesema bidhaa hizo zimepimwa na kufeli vipimo vitatu vya kuthibitisha ubora wa bidhaa hapa Tanzania ambapo TBS imeanza mipango ya kuzisaka hizo Condom kwenye maduka mbalimbali ya dawa.

source ni millard ayo.

maoni yangu,je ni watu wangap washazitumia izo condom feki,je maisha ya raia si yako hatiani kutokana na uzembe au rushwa unaofanywa.
 
Back
Top Bottom