...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

...TBS yakamata mipira ya kiume (condom) fake!

tuna kwenda wapi nchi hii jamani? kila kitu ni feki kuanzi radio, simu za mikononi , arvs n.k jamani hata condom jamani sasa hii inatisha sana. Yaani nchi imefanywa kuwa nchi ya bidhaa za majaribio na bidhaa feki toka huko bara asia. Sijui tukimbilie wapi ambako hakuna vitu fake, INATISHA , WALE WAZEE WA ALTERNATIVE'' C'' MPO HAPO
 
Kontena lililosheheni kondomu za kiume aina ya Melt Me zenye thamani ya sh222.1 kutoka nchini India zimekamatwa na kuzuiliwa katika Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kubainika kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu.
Maofisa wa TBS wamelazimika kufanya msako mkali kwenye baadhi ya maduka ya dawa jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kwamba tayari kondomu hizo zipo sokoni.
"Imebainika kwamba tayari nyingine ziko madukani, mbali na zile zilizokamatwa' kumbe kuna shehena nyingine imeingizwa nchini kwa njia ya panya. Kaimu Mkurugezi wa Mkuu wa TBS Leandri Kinabo amewataka wananchi kuwa makini, kwani kondomu hizo ni mbovu, zimebainika kuwa na vitundu, pia zinapasuka haraka. TBS bado wanaendelea kufanya mawasiliano na kampuni iliyotengeneza kondomu hizo. Lakini kwenye kasha lake inaonyesha kuwa inaingizwa nchini na kampuni ya Fair Deal Exim ya Dar es Salaam.

Chanzo cha Habari: Gazeti la Mwananchi Jumamosi 22, Desemba 2012.
 
Tukubaliane kuwa serikali ina mpango wa kutuua. Si kwamba haijui huu mchezo. Ukiona maafisa wa taasisi zinazohusika na ubora wa bidhaa wakitajirika jua ni kwa damu ya wananchi maskini. Je ni wangapi wameishaambukizana miwaya tangu hizi ndude ziingizwe? Hivi kwa walivyo wabaguzi mlitegemea wahindi watutendee haki jamani?

Tukisema Kikwete ni bomu tunamkosea heshima kweli? Tutamheshimu vipi iwapo kuwapo kwake madarakani hakuna faida na wananchi waliompa kura? Je hii si dhambi inayotosha kuwalazimisha watu wenye akili na uchungu wa maisha yao kuiondoa serikali madarakani? Leo dawa feki tena ARVs, kesho Kondumu kesho kutwa damu chafu mtondo sindano mbovu, mtondogoo vyakula vilivyokwisha muda wake kutumika.

Tutaendelea kuwa jalala hadi lini? Utakuta walioingiza bidhaa hizi wanaitwa wafanyabiashara maarufu wakati ni matapeli hatari.
 
mungu wangu naona sasa sabuni na mafuta yale malaini yataisha madukani maana ndio njia pekee iliyobaki no way, ukisema kuwa mwaminifu mwenzako anaweza asiwe, jamani ccm watuhurumie mikono yetu itachoka humo makazini kwenye key board tutashindwa kutype vizuri maana mikono itakuwa inatetemeka muda wote, kazi ipo
 
Zimeshafika hadi mikoani,Songea maduka maarufu ya dawa yaliyoko mtaa wa delux1 zimejaa tfda tupeni macho huku watu wanaangamia
 
Tumefika pabaya, tunauana sababu ya fedha. Condom mbovu, ARV bandia
 
ukiwa mtu wa nyeto kama mimi, purukushani zote hizo wala hazitakuumiza bichwa, acha muuwane wenyewe kwa wenyewe!
NYETO NDO KITU YA TOWN!
 
Ni kweli puchu inaepusha maambukizi, fumanizi, n.k.

Bado presha, Gharama Za Kudinyana n.k,
mbali na mausumbufu yoooooote...mwisho unaenda kujinyonga kwa matumaini ya kondomu feki!!!
Kama Wewe Ni Wa Town..Yote hayo unayanyutia mbali kwa mkono Na povu la sabuni!!
 
tukimbilie wapi jamani?
1. mapenzi feki (No uaminifu) watu tukaamua kwenda kupima, kumbe...
2. vipimo feki, mara unaambiwa unao mara hauna, tuukamua kuanza dose, kumbe...
3. ARV feki, tukajitolea kupunguza maambukzi kwa kutumia
kondomu, kumbe...
4.
 
kaaaz kwel kwel!! Gud kaz kwa TBS maana c kaz yao kuchunga izo njia za panya. Lawama kwa serikali na taasisi zihusikazo kwa namna 1 ama nyingine.
 
hii nchi yetu bila ya kufuata utawala wa sheria tutakufa sana, yani unasikia tu sijui mavitu gani yameingia nchini na ni fake, lakini hausikii watu kufungwa, watu wote waliohusika kuingi za hiyo vitu wangekuwa ndani nchi za wenzetu, yani mwisho unasikia sijui wamechoma moto box 12, nyingine zinaingia madukani japo ni fake, serikali lazima hiwe serious na raia wake.
 
  • Thanks
Reactions: ILA
Back
Top Bottom