TBL yapunguza bei ya Castle lite, sasa ni 1500/= tu

TBL yapunguza bei ya Castle lite, sasa ni 1500/= tu

Nimekutana na hili tangazo leo.
Nakiona kifo cha Serengeti lite.
Kwa hali hii vikao vitaanza Jumatatu.
View attachment 778384
Aiseee wataiua Serengeti lite na Kilimanjaro ndogo, ujue Kwa sasa hivi Serengeti lite na Kilimanjaro ndogo ndio bia zinazokiki Kwa sasa sio kuwa ni tamu? Hapana ni kutokana na bei kuwa ya chini, yani Kama watapunguza kufikia hiyo bei kweli kabisa Serengeti lite itakufa kifo cha mende
 
Tbl wajiongeze sasa wawe wanapima kwenye lita kama kimpumu au ulanzi 500/=per lita
 
Duh hivi bia zina ladha tofauti.. i mean mfano safali na castle huwa zina ladha tofauti?? Au zinatofautiana alcohol content tu..
 
Halafu kuna wajinga wakiambiwa mfumuko wa bei umepungua hapa nchini wanabisha. Kitu kimetoka 2500 hadi 1500! Mungu ibariki awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom