kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Balimi tamu sana aiseHow!? Kila mlevi na bia yake.. mfano mm kilimanjaro au tusker au balimi hata ziuzwe jero jero cnyw
Balimi tamu sana aiseHow!? Kila mlevi na bia yake.. mfano mm kilimanjaro au tusker au balimi hata ziuzwe jero jero cnyw
Kama wewe hunywi bia hii wewe haikuhusuYaan kupungua kwa bei ya bia unaona ni juhudi tena za awamu ya tano kwel ww ni ziro kbs, sukari bei gani ? mafuta ya chakula bei gani ? mchele bei gan ? Wacheni uzuzu bhana bia wauze ht buku kumi watoto wako watakunywa bia ?
Hilo nalo linawezekana pia.Wanaweza kupunguza bei halafu wakaharibu quality. Wakifanya hivyo watakuwa wamejiua wenyewe. Mimi yangu macho.
Imeshuka na yenyeweWatushushie na Safar lager
Ladha kamil inayolidhisha zaid
Umejitahidi kutumia hata robo ya akili yako kufikiri kabla hujaandika?Halafu kuna wajinga wakiambiwa mfumuko wa bei umepungua hapa nchini wanabisha. Kitu kimetoka 2500 hadi 1500! Mungu ibariki awamu ya tano.
Mkuu ile mitulinga c mchezo ukipiga 3 unaweza bebwa kama kichwa panziKitu guiness ndo mzigo naotumia