TBL yapunguza bei ya Castle lite, sasa ni 1500/= tu

TBL yapunguza bei ya Castle lite, sasa ni 1500/= tu

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nimekutana na hili tangazo leo.
Nakiona kifo cha Serengeti lite.
Kwa hali hii vikao vitaanza Jumatatu.
IMG-20180515-WA0022.jpg
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] hii bei sasa itapendeza..
 
Hawa wanataka tuwe taifa la warevi.....safi walau tupoteze mawazo kwa urabu.
 
Walau kwa namna vyuma vilivyokaza nikiwa na buku ten tu naweza kwenda kupiga stori.
 
Back
Top Bottom