Sina tatizo na Clouds TV kuonyesha live mazishi ya Kanumba, lakini hili la TBC 1 nayo kurusha live mazishi hayo linanishangaza sana. Hivi kwa TBC1 Tv ya Taifa, suala hilo ni muhimu kiasi hicho? Mbona coverage ya matokeo ya chaguzi ndogo huwa haifuatiliwi kiasi hicho?
acheni wivu wa kike....Kanumba sio mwenzenu hata kidogo!! kwanza nlisikia na super sport wangeonyesha...
kibonde pandikizi wa magamba.anazani kufanya vile ndiyo wamagamba watakubalika.tz we need changes.halafu Kibonde kawahoji katibu mkuu wa CCM Mkama na katibu mwenezi Nape.
sijajua ni kwanini aliwafuata hao tu.
kuwapa sifa watu kama Kanumba sio jambo baya ila tuangalie tunatoa mifano gani kwa kizazi cha mbele.. Tunajenga role modalz wa haina gani kwa vizazi zijavyo, wasanii? Wanamuziki? Wanamitindo? Watoto watakuwa wanatamani kuwa kama kina kanumba, kwasabu ndo wanaona huko ndo kuna faida, hela na heshima..
Kama nchi maskini tulitakiwa kujenga wasomi na kuwapa kipaombele na vyombo vyingi vya habari vionyeshe mambo ya manufaa wanayofanya... Kizazi kijacho kingetamani kuwa kama wasomi na taifa lingeokoka..
Tuache kujifananisha na mataifa yaliyoendelea, wao wasami wanakipaombele kikubwa na hata kutangaza kifo cha wanamuziki au celebrities wao haita chafuz mawazo ya kizazi kijacho...
Watanzania tunahitaji maombi, maombi kila siku...
RIP Kanumba, ila kifo hiki kisitunyime kuifikiria nnchi yetu... Kuua nnchi inaanza pole pole kama hiv 2...
"mtabeba jeneza langu hata kama ni maadui zangu' Steven Kanumba