Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live

kaka ndio hapo linapokuja swala la biashara,wewe unategemea ni matangazo mangapi ya biashara yataonekana hapo leo?Na TBC ni chombo cha habari mimi sioni tatizo wao kuonyesha.
 
Kwa kawaida kituo cha TV kinagombea kuwa na watazamaji wengi, kinachotakiwa ni kutafuta kipindi gani kitavutia watu wengi. Wako sahihi kwa hilo, inaonekana wivu unakusumbua.
 
Meli zbr ilizama maelfu ya wa2 wamekufa wanarusha wanarusha vindi vya kawaida leo wanakata bunge!. Nchi hii kweli kuna kazi.
 
Mizembe imekatisha kuonyesha kinachojiri bungeni, wanaonyesha Live Mazishi ya mzembe mwenzangu. Naichukia sana nchi yangu.

Bibi yangu kijijini hajawahi kumsikia Kanumba leo unamnyima haki ya kumsikiliza mbunge wake aliyemchagua unaonyesha mazishi ya mfanya ngono na watoto.....

Hili li nchi bana....
 
Nothin surprises me any more katika nchi yetu hii ya maziwa na asali.. Huo muda ambao TBC wako hewani cjui unalipwaje..! Kodi zetu..?
 
acheni wivu wa kike....Kanumba sio mwenzenu hata kidogo!! kwanza nlisikia na super sport wangeonyesha...
 
Hawakuyafanya haya Dr Omar Ali Juma aliyekuwa makamu halisi wa Rais alipofariki!
 
Hivi 2015 itafika lini??? Naililia Tanzania yangu!!

Yaani TV ya serikali inakata matangazo ya Bunge kwa ajili ya msiba wa Kanumba???
 
Sina tatizo na Clouds TV kuonyesha live mazishi ya Kanumba, lakini hili la TBC 1 nayo kurusha live mazishi hayo linanishangaza sana. Hivi kwa TBC1 Tv ya Taifa, suala hilo ni muhimu kiasi hicho? Mbona coverage ya matokeo ya chaguzi ndogo huwa haifuatiliwi kiasi hicho?

Kama mfanya biashara sioni kama ni Tatatizo ninaamini kutakuwa na matangazo ya biashara.
 
halafu Kibonde kawahoji katibu mkuu wa CCM Mkama na katibu mwenezi Nape.
sijajua ni kwanini aliwafuata hao tu.
 
meli ya zanzibar ilivyozama wao walikuwa wanarusha taarabu
mkuu wewe umesema jambo kubwa sana,walikufa watu zaidi ya 3000 ktk meli zenj tbc walikua wanarusha taarabu ,leo eti kunumba kafa wanakatisha matang
azo ya bunge,je kanumba ana thamani zaid ya wale watu elf3?walaaniwe tbc.
 
Back
Top Bottom