Ombi langu kwa Club 7 Ngalawa (Royal) Dodoma; live ya TNC ihamishiwe Jumamosi

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
Mimi ni mmoja kati ya wapenda Burudani na muumini mzuri wa Live Band. Toka nimehamia Dodoma mwaka 2017 nimekuwa nikihudhuria Burudani ya Live Band sehemu Moja tu ninayoikubali nayo ni Royal.

Hapa kuna Live Band mbili kati ya TNC chini ya Taz (inapiga Ijumaa na J2) na Bendi ya Bushoke (inapiga Jmosi). Kiukweli nimefanya kautafiti kidogo inaonekana kuwa wapenzi wengi wa Live Band hapa wanafurahia zaidi Muziki wa TNC kuliko Band ya Bushoke.

Hivyo inaombwa band hii ya TNC ihamishiwe kutoka siku ya Ijumaa na ije Jmosi ili watu waenjoy muziki wa Live Band Jmosi ili J2 wapumzike au waje kwa Bushoke.

Haya ni Mawazo huru.

Naomba kuwasilisha.
 
Mimi ni mmoja kati ya wapenda Burudani na muumini mzuri wa Live Band. Toka nimehamia Dodoma mwaka 2017 nimekuwa nikihudhuria Burudani ya Live Band sehemu Moja tu ninayoikubali nayo ni Royal.

Hapa Kuna Live Band mbili kati ya TNC chini ya Taz (inapiga Ijumaa na J2) na Bendi ya Bushoke (inapiga Jmosi). Kiukweli nimefanya kautafiti kidogo inaonekana kuwa wapenzi wengi wa Live Band hapa wanafurahia zaidi Muziki wa TNC kuliko Band ya Bushoke.

Hivyo inaombwa band hii ya TNC ihamishiwe kutoka siku ya Ijumaa na ije Jmosi ili watu waenjoy muziki wa Live Band Jmosi ili J2 wapumzike au waje kwa Bushoke.

Haya ni Mawazo huru.

Naomba kuwasilisha.
Muone manager wa bar au mmiliki.
 
Back
Top Bottom