TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

Siku hizi TBC wamebaki kuonyesha Tamthiliya na live football match ndio vya ukweli vya kuviangalialia mana mengi yote lazima wachakachue kulinda matakwa ya wakubwa wa serikali
 
Wakati Ndesamburo anatoa anaongea vile tayari kulikuwa na mtu alie kuwa amepigwa risasi ya mguu na walipo mchukua kumpeleka hospitali ilibidi wapitie polisi ilikuchukua PF3 matokeo yake walio mpeleka na aliepigwa risasi wote walikamatwa...ulitaka wafanyaje au wao hawana roho..watu wana kibali cha kufanya maandamano na mkutano harafu wanakuja kupigwa mabomu na wahuni wa kikwete...Ndesa tuko pamoja acha watuue wote tunao itwa wahuni wa Arusha kwa faida ya Mganyizi na familia yake ingawa yeye hajui hilo kwajinsi alivyolewa...
 
Mwaka huu, mtaua wengi sana, mmeanza arusha, mbeya sijui mtafata sijui Arusha tena.....tulikuwa tunaenda polisi ndiyo,
waulize hao bwana zako sababu ya CDM kutaka kwenda polisi nini?
kwanini viongozi wa CDM walikamatwa?
kwanini walikataliwa dhamana licha ya masharti yote kutimizwa?
walianza kutumia risasi za moto saa ngapi? na ni maeneo gani walianza kuzitumia
tutaanzia hapo
 

kwenye hilo jengo ni polisi walipiga bomu tena walikuwa maeneo ya soko kuu na nikuwa maeneo ya jengo hilo waache kudanganya watu
 
ulitaka wafanye nini? tena walivumilisana watu walitaka kuandamana kwenda polisi saa saba wakawaomba wasi fanye hivyo kwa kuwa kulikuwa na wanasheria wanafatilia swala,Mbeya pia chadema wamehusika!?
 
Ndio wanawasha moto wa mabadiliko mana wengi wanapiga simu nakudai sehemu askari anavunja vioo vya gari ionyeshwe.
kwenye tamko la polisi wanasema CDM walivunja vioo vya magari ya watu lakini Chanel ten walionyesha polisi akivunja vioo vya gari bila sababu yoyote ya msingi.....
 
hivi TBC ni chombo cha serikali au wananchi?

jambo. nakujibu kwa kukuuliza swali kama ilivyo hulka yetu watanzania. je CNN na BBC ni vyombo vya serikali au wananchi? ninavyojua cnn ni chombo cha watu binafsi lakini kiko makini sana kutangaza yale tu ambayo serikali inataka. nakuhakikishia wangetangaza yote wanayoyaona iraq na afghanistan wananchi waongekuwa wameandamana siku nyingi. ndio maana kuna neno embedded. na bbc kadhalika hawatangazi kisichfpendwa na serikali y
 
hata wafanyeje ukweli utabaki kua ukweli, wanafalsafa wanasema kua mara zote ukweli hujitafutia njia yake wenyewe, hivyo basi hata kama watachakua ripoti ya hali halisi ilivyokua arusha lakini wananchi na wazalendo kamwe hawato sahau risasi za moto zilizo waua ndugu zetu katika maandamano ya tar 5.
 
That is the journalism of TBC1, i suppose true journalism is not quoting people out of context. Hivi tukiwa na katiba mpya inayotoa usawa kwa wananchi wote TBC watakosa nini?

Mbona wanakosa uzalendo, I know TBC officials are rational people but they are just victim of suppression and dictatorship. Ni watu wa kuhurumia sana.
 
Hapo tusitegemee ukweli wowote wa tukio zima, hata zile sehemu za ukatili naamini wataweka matangazo ili zisionekane. Tusubiri
 
Hovyo Kabisa, siku za mabadiliko zinakuja nwa wasaliti wote watajulikana
 

Waliomadarakani ndio maopportunist na wanabaki madarakani kwa kulindwa na bunduki. Wametengeneza "disadvantaged youth" ambao wanaweza kuwa exploited. Their goal is to cling kwenye madaraka by all means even by killing innocent people. Who killed? Police not Chadema. Why Chadema were a threat kwa wala kuku wezi.
 

Busara yako unaipima kwa kigezo gani? Kama cha CCM na Makamba i am out.
 

Unayajua mengi lakini unayajua kinyume nyume vipi kwani?
 
Wanajamii nawakumbusha kuangalia kipindi maalum cha vurugu za Arusha (kama wao walivyotangaza)nina uhakika picha zitakua zimechakachuliwa kama zile za chagonja.
 
TBC inazidi kupoteza mwelekeo kwa kurudia rudia hii docomentari yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…