Ni kosa la mvaaji c tbc
wakuu,salaam.
kama kuna mtu kaangalia TBC taarifa ya habari usiku huu kuna dada alikuwa anatangaza utabiri wa hali ya hewa alikuwa kavaa nguo zisizoendana na maadili ya mtanzania ukizingatia huu ni mwezi mtukufu.
alikuwa kavaa blause inayoonesha sehemu ya maziwa yake na sehemu ya tumbo kichini ya kitovu.
sipendi kabisa kuitazama ila leo nikuwa ugenini sehemu na kukutana na hicho kihoja.

Kwani maadili ya mtanzania ni yapi kuhusiana na mavazi? Pia huo mwezi wengine hautuhusu maisha yetu naendelea kama kawaida.wakuu,salaam.
kama kuna mtu kaangalia TBC taarifa ya habari usiku huu kuna dada alikuwa anatangaza utabiri wa hali ya hewa alikuwa kavaa nguo zisizoendana na maadili ya mtanzania ukizingatia huu ni mwezi mtukufu.
alikuwa kavaa blause inayoonesha sehemu ya maziwa yake na sehemu ya tumbo kichini ya kitovu.
sipendi kabisa kuitazama ila leo nikuwa ugenini sehemu na kukutana na hicho kihoja.
wakuu,salaam.
kama kuna mtu kaangalia TBC taarifa ya habari usiku huu kuna dada alikuwa anatangaza utabiri wa hali ya hewa alikuwa kavaa nguo zisizoendana na maadili ya mtanzania ukizingatia huu ni mwezi mtukufu.
alikuwa kavaa blause inayoonesha sehemu ya maziwa yake na sehemu ya tumbo kichini ya kitovu.
sipendi kabisa kuitazama ila leo nikuwa ugenini sehemu na kukutana na hicho kihoja.
Pole mkuu, amekutia majarbuni bure kwa kweli, hiyo ni TBCCM Taifa, acha kuhangaika nayo, jamiiforums haikutoshi?...mzima lakini mkuu wa rockcity??...