johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo.
Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja.
Hongereni TBC kwani mtoto akinyea mkono hauukati.
Maendeleo hayana vyama!
Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja.
Hongereni TBC kwani mtoto akinyea mkono hauukati.
Maendeleo hayana vyama!