TBC na habari za CHADEMA

TBC na habari za CHADEMA

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Hivi TBC kama hamtaki kutoa coverage ya habari za CHADEMA si muache yaani huyu katibu wa CHADEMA ametoa neno moja tu na siku zote hamtoi habari za CHADEMA vizuri hata msipotoa sis tutapata tu habari, hamlazimishwi sis tunajua nyinyi ni chombo cha propaganda cha CCM.
 
Hata mimi mkuu nilishaliona hilo tena siku hizi wananiuzi kiasi kwamba nimepoteza interest na TBC
 
Kwa mara ya pili leo naona shida hiyo...ikifikia kusoma habari za cdm, kunatokea scrstches , na mwishowe wanakata kabisa...halafu worse msomaji hata radhi hajaomba.
Sielewi huenda hata magazeti ya kesho watayamwagia bleaching agent.
 
TBC inatia kichefuchefu..nilikuwa siiangalii hapo kabla, Sema tu ITV haishiki hapa A-city, kwahiyo sina option, Na huyu mkuu mpya wa mkoa kuna siku atajuta kuletwa hapa town....siku inakuja!!
 
Jamani habari gani hiyo sio wote walitazama TBC
 
Ni habari gani hiyo ya Chadema waliyotaka kuuisoma wakaipotezea? kwa ambao hatukupata acces ya kuwatch tv tafadhali
 
siwalimfukuza Tido kwa ajili hiyo nan sasa anataka apoteze kibarua chake wakati ajira shida. Habari tunazipata hata kama hawataki kutoa hewani wenyewe ni wa mtaani
 
Kwa mara ya pili leo naona shida hiyo...ikifikia kusoma habari za cdm, kunatokea scrstches , na mwishowe wanakata kabisa...halafu worse msomaji hata radhi hajaomba.
Sielewi huenda hata magazeti ya kesho watayamwagia bleaching agent.

hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu Msami badala ya kutamka Lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....
 
Preta,
Tulikuwa tukiambiwa ukisema chui atakuja kukukamata. Hawa pia wanaogopa kutaja Chadema kitakuja kuwakamata.
 
wameshapoteza mvuto na uozo wa habari walio nao wanazificha utazani wanataka zizaliane shame on you TBC
 
hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu Msami badala ya kutamka Lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....

tatizo la kuajiri vilaza!huwa hawajiamini kabisa,hapo hawajapewa maelelezo yoyote lakini wanahaha kuremba habari.
 
Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!
 
hawa TBC ni vibaraka wa magamba tuwafutilie mbali tukiwajadili sana watajivunia.wanajua peoples power ni issue.wanaogopa mtaja Lema kwnye habari,pia habari ya makao makuu wamechakachua wakausugua pia.hii tabia tuikomeshe jamani wadau wa habari.
 
Maadili ya uandishi. Jambo kama halifai kwa jamii linakuwa mute.
 
Habari yeneyewe ilikuwa inahusu katibu sijui wa vijana yule makao makuu Dar alikuwa anatoa taarifa kuwa CDM inaunga mkono Mbunge Lema kuendelea kukaa mahabusu mpaka mashtaka yaliyotolewa kwake kuwa alifanya maandamano bila kibali yafutwe dhidi yake coz hakufanya ila kasingiziwa. Kama kuna mahali nimekosea naomba mnirekebishe nawasilisha
 
TBC 1 You can full Tanzanian people sometime! But you can not full all Tanzanian people at the whole time! story iliyopo mbele ya jamii ya watanzania wote hapa Arusha na Tanzania nzima inalijua hilo na magazeti yanaandika habari za muheshimiwa Lema kukataa dhamana na yeye kupelekea kwa ridhaa yake kwenda kukaa pale gereza kuu la Kisongo kwa kupinga manyayaso ya majeshi ya polisi kufanya kazi kisiasa chini ya utawala wa chama cha CCM, halafu mnachakachua hata kwenye taarifa za habari? kweli huu ndio uhuru wa taarifa za kuwapa watanzania hata kulitaja jina la muhusika kwenye taarifa zenu imekua shida? Shame on you time will tell.
 
[/COLOR]]Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!

Kilichowapeleka kufanya covarage nini?, pia kwann waionshe si wangeipotezea kabisa.Hapo kwenye red taarifa imetoka ila kimazabe
 
hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu Msami badala ya kutamka Lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....
Kweli Kabisa, aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea!
 
Kilichowapeleka kufanya covarage nini?, pia kwann waionshe si wangeipotezea kabisa.Hapo kwenye red taarifa imetoka ila kimazabe
Habari zote za kichochezi huwa zinatolewa namna hiyo ili zisieleweke! Chadema si waache uchochezi.
 
Back
Top Bottom