Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Ulikuwa na akili Timamu wakati unaandika hii. Au ulishavuta Kaya na kunywa Valuer.Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!