Tbc msimchafue nyerere na maruhani wa mafisadi

Tbc msimchafue nyerere na maruhani wa mafisadi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Kwenu Tbc
Hili nimeona nionglee waazi;embu tumwache babu wa watu apumzike kwa amani jamani,......mwanzoni mlianza vyema "sikila sikio la mkuu""
mkawa mnatoa picha ya nyerere na hotuba yake
hivi sasa mmeanza kuweka maruani wa mafisadi pembeni na mnatuambia tuwasikilize lipi jipya wanalo waanaharamu hawa wanaoenda kufungua mahoteli na mikutano ya mafisadi hao hao wanawapeleka mahakaamani unahisi kuna kesi,..?kama mmeamua kutoa hotuba za babu ,toeni pekee msimchafue na hao walarushwa mafisadi mwisho mtatuwekea picha ya kingunge??ole wenu nasema nyerere akisiikia hili
 
usishangae yote ni kampeni hizo bora wangeacha speech za mwl zina mvuto ila zinawachoma na kuwaharibia ndomana wanazichambua kweli awaweki ovyo
 
Wee waache wafanye kazi kama misukule ya ccm
mungu atakapoingilia kati watashangaa kuweka speech za kukemea uchafu
 
Huyo Nyerere kama alikuwa mtakatifu nikwenu nyie wachache, mimi Nyerere namuona kama chanzo cha matatizo yanayotokea hapa nchini. Si mtukufu kamwe!!
 
Huyo Nyerere kama alikuwa mtakatifu nikwenu nyie wachache, mimi Nyerere namuona kama chanzo cha matatizo yanayotokea hapa nchini. Si mtukufu kamwe!!

Hawajasema kama nyerere alikuwa mtakatifu maana hakuna mtakatifu hata mmoja duniani. Walichosema ni kweli kuwa Nyerere alijitahidi sana kuongoza nchi kwa faida ya wananchi na sio yake binafsi ingawa alikuwa na mapungufu pia, waliomwangusha zaidi ni waliokuwa chini yake. Na sio vizuri kumlinganisha na watu ambao wanawaliza wanachi kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom