TBC mnatuangusha watanzania

TBC mnatuangusha watanzania

Yaani hawa TBC1 wanakela mno,ile station yao TBC2 inafanya kazi gani?,ni muziki tu 24hrs, kweli mchawi mpe mtoto alee,nakumbuka Ayoub Lioba kabla alivyokuwa mjuaji,leo kapewa vumba! Kakaa kimyaaaa..
 
TBC sioni la maana wanalochangia kwenye jamii ya kitanzania kama shirika la habari,sielewi dira yao ni nini,inatumia kodi zetu bure tu,programming ni mbaya haivutii,hawarushi matangazo ya mpira ya timu za taifa,hawana breaking news,it dosnt cover maswala mtambuka yyt yanayoendelea nchini,ts totaly shame why is it existing?wanarusha taarab na ngoma kutwa nzima,TBC ni kichekesho
 
Hawa hivi karubuni kimbunga kinawapitia maana hawajiongezi
 
Wewe mpaka leo unaangalia TBC. Huna kazi ya kufanya, bora kuangalia Bongo Movie kuliko kupotoshwa na TBC
 
Sijawahi kuona kilaza aliepitiliza kama wewe,yani kila kitu tu unachangia kiushabiki.Jitambue bwana we vipi.

Ha ha ha haaaaaaaa kama hujaelewa nenda kagugo sio kudakia tu....kilaza uliyekubuuuu huna hata fikra za kujiuliza kitu.
 
Ha ha ha haaaaaaaa kama hujaelewa nenda kagugo sio kudakia tu....kilaza uliyekubuuuu huna hata fikra za kujiuliza kitu.
Inamaana Tanzania hatuna makampuni yenye fedha kudhamini kama tatizo fedha? Au uongozi nao wa TBC umeshindwa .
 
Ha ha ha haaaaaaaa kama hujaelewa nenda kagugo sio kudakia tu....kilaza uliyekubuuuu huna hata fikra za kujiuliza kitu.
Wewe ndio kilaza ulie kubuhuu,ujitambui.Nyie ndio wenyewe vyeti feki.Kwanza sina muda wakubishana na wewe mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika.
 
Wewe ndio kilaza ulie kubuhuu,ujitambui.Nyie ndio wenyewe vyeti feki.Kwanza sina muda wakubishana na wewe mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika.
Ohoo yamekuwa hayo tena.
 
Wewe ndio kilaza ulie kubuhuu,ujitambui.Nyie ndio wenyewe vyeti feki.Kwanza sina muda wakubishana na wewe mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika.

Ha ha ha haaaaaa

Ila uliniquote mwenyewe eeeeeh kituko
 
Kwa kweli TBC inabidi wajipange upya, na wazingatie vipaumbele vinavyogusa kila mtanzania..
 
Back
Top Bottom