TBC mnatuangusha watanzania

TBC mnatuangusha watanzania

Nimepita mahali naona Tbc wana rusha mziki na watu wanaserebuka. Sijui kama ni kipindi kilicho lipiwa au ni aje. Hapo Dodoma bunge linaendelea gizani.
Bado Tbc wanasema hawana pesa za kujiendesha
 
Hawana pesa za kurusha matangazo live ya bunge..
 
Acha wasakate rumba stress kibao ukipata nafasi kula vituuuu watakuwa wamelipia hao
 
Yaani hiki chombo cha taifa uwezo wake ni kurusha matangazo ya NDOA BUREEEEE lakini ukiwaambia turushieni matangazo ya BUNGE LIVE wanapata kigugumizyeeee..
TWAAFWAAA!!
 
Back
Top Bottom