Mnajidai haimtazami TBC
lakini utafiti unaonyesha nyie ndio watazamaji wakuu, kila mara mnakuja
na malalamiko yasiyo na kichwa wa mguu humu!
kwanini TBC wanatuudhi kiasi hiki Watanzania wenzangu??? TELEVISION nyingine mko wapi mtuokoe na hili JANGA??
Wakati Channel Ten wanaonyesha madhara ya mvua Dar, Tbc ambayo ni Tv ya taifa hawana mpango, kwa raha zao wanaonyesha umbea. Tukifanyeje hiki kituo??? Ujinga mtupu. Nimechukia.
Wanafaa kuondolewa na tccra
wakati channel ten wanaonyesha madhara ya mvua dar, tbc ambayo ni tv ya taifa hawana mpango, kwa raha zao wanaonyesha umbea. Tukifanyeje hiki kituo??? Ujinga mtupu. Nimechukia.