TBC Mnakera sana!

TBC Mnakera sana!

Naungana na wewe tuandamane km walivyofanya wamisri kumtoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Hussein Mbarak. Tatizo watanzania wengi ni waoga sana, hawana uwezo wa kufanya maamuzi magumu...Na wewe usijifanye unatoa ushauri namna ya kufanya kumbe wewe ni mtu wa usalama wa Taifa au moja ya taasisi za serikali (unapeleleza) ole wako!..
 
njia pekee ya kufanya kwa hiki kituo kiachwe kijiendeshe kibiashara pesa zake zitokane na matangazo ya biashara sio kodi zetu, wanafanya kila ujinga wanajua kwamba watalipwa tu vyovyote vile hata kama tv haina mvuto watu hawataleta matangazo ya biashara wao watalipwa tu!!!
 
Nashangaa na hivi vyombo vingine sijuhi MOAT wako wapi kwa hili,inakuwaje wanashindwa kuhoji kuzuiliwa kuonesha jambo zito kama hili la kitaifa genuinely kabisa

Hivi mbona K24 na Citizen zilikuwa live Kenya ukiachia mbali KBC? kwanini hapa wamiliki wa media hizi wanakuwa mbwa koko kupita kasi namna hii? yaani TV na Redio zote tulizonazo eti TBC ndo wanaruhusiwa tu? This is totally pure dictatorship.
 
Nashangaa na hivi vyombo vingine sijuhi MOAT wako wapi kwa hili,inakuwaje wanashindwa kuhoji kuzuiliwa kuonesha jambo zito kama hili la kitaifa genuinely kabisa

Hivi mbona K24 na Citizen zilikuwa live Kenya ukiachia mbali KBC? kwanini hapa wamiliki wa media hizi wanakuwa mbwa koko kupita kasi namna hii? yaani TV na Redio zote tulizonazo eti TBC ndo wanaruhusiwa tu? This is totally pure dictatorship. ..uko wapi uhuru wa habari hapa Tz?
 
Dawa in moja tuu. Jivike mabomu ukajilipue nayo .
Never mind because no one will miss you. Mkeo ataendelea na huu mchepuko wake anaochepuka nao hivi sasa
 
Noma sana kama kuna uwezekano TBC ipelekwe mahakamani kwa kuvunja katiba na kufanya ubaguzi
 
na watangazaji wote wa TBCCM ni matutusa tu! Kwanini wakubali kuendeshwa kama makondoo ya kike?
 
Magamba Media (TBCCM) na Magamba Energy & Power (TANECCM) leo msikate matangazo tena. Tulieni dawa iingie sawa sawa ili mpone ugonjwa wa kichaa unaowasumbua! Dr Tundu Antipas Lisu atakuwepo Mjengoni Hospital kuanzia leo saa 3 asubuhi kuwagawia dozi kamili dhidi ya ugonjwa unaowasibu. Hata kama mkitaka chanjo mtaipata leo.
 
Wakati Mh Tindu lisu akishusha nondo kali kwa takwimu kuhusu utata wa hati za Muungano, inaonekana 'dawa iliwaingia ' waheshimiwa wakaamua kuzima matangazo ya Tv yaliyokuwa yanarushwa hewani live na TBC 1 ili kuwapumbaza Watanzania. La kushangaza ambalo kwangu inaonekana matangazo yalizimwa makusudi, badala ya kuomba radhi wananchi wao wakaweka hotuba ya J.K aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge la Katiba hususani katika kipengelee kwamba watu wengi wamezaliwa baada 1964 hivyo Tanganyika hawaijui,. Hii inaonyesha kuhangaika na hotuba ya Lissu na ni aibu kwa Taifa. Haya ndiyo yaliyomshinda Tiddo ya kulamba watu nyao kwa kujikomba na kudhalilisha taaluma yako. Baada ya kugundua mbinu hiyo, Freeman Mbowe aliomba mwongozo kwa mwenyekiti Sitta ambaye kwa kweli hakuwa na jinsi zaidi ya kuhailisha bunge. TBC walirudi wakati Sita akisoma dua ya kuhailisha Bunge, na mtangazaji akasema matangazo yamekatika kwa bahati mbaya na "si vinginevyo". SHAME ON YOU TBC. "You can fool all the people one time, but you cant fool all the people all the time"
 
Excellent!

Shame on you mleta mada, shem on you mabwana zako
 
1. Jamaa wajinga sana, eti wanakata hafu wanarudi, wanatupotezea flow ya Nondo.
 
Shame on you mleta mada, shem on you mabwana zako

Unanikumbusha zamani sana. Nikiwa mdogo nyumbani kwetu kulikuwa na mlinzi mmakonde, huyu bwana alikuwa anajua kujituma sana katika ulinzi ila alikuwa hatumii akili yeye anafuata maagizo tuu. Siku moja marehemu baba yetu alitoa amri kwa mlinzi kuwa leo usimfungulie mtu yeyote kuingia humu ndani Mmakonde akaitikia "hewala mkuu".
Sasa wakati amri hiyo inatolewa juu ya wageni kuingia, marehemu mama yetu na binti wa nyumbani walikuwa wameenda sokoni, basi waliporudi mbona ilikuwa kizaazaa! Eti kagoma kufungua mlango kwa vile " mwajiri wake" kasema usimfungulie mtu.
Nadhani umenielewa. Kwako sasa ni hivi, madamu mwajiri wako kakutuma utetee kila kinachomzungumzia basi wewe hata hujishughulishi kufikiri. Kila kinachokuja mbele yako wewe una pambana nacho kumtetea " mwajiri wako" hata kama ni cha kujenga.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nimekubali kuwa to Pretend ni fani kubwa sana. Yaaani mtu ana PhD anajua kufanya critical thinking and analysis, anaujua ukweli, lakini anasimama tena mkavu machoni na kutetea utumbo. Kwa msomi kuamini kuwa huwezi kula bila siasa ni matusi makubwa kwa jamii za wasomi. Unakubali kudhalilisha taaaluma yako ili wanasiasa wakupende. PAMBAF kabisa.
Shame on you mleta mada, shem on you mabwana zako
 
Yaani watu walivyo wajinga eti wanaenda kurusha mabomu kwenye mabanda vya kuonyeshea mpira na wanaacha vituo vya utangazaji kama hivi vikiendelea KUBAKA demokrasia!

Hicho kituo kilipaswa kulipuliwa kabisaa!
 
Kituo cha Tv kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi kwa mara nyingine tena kimekata mawasiliano leo wakati Mtaalamu wa sheria na mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba Prof. P. Kabudi alipokuwa akitoa takwimu za baadhi ya nchi ambazo ziliwahi kuwa na muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ukavunjika.
Baada ya kukata mawasiliano wakaweka taarabu, na mara baada ya muda wake kuisha wakarudi tena hewani. Inauma sana...!
 
...Hivi sasa TBC inaishi kiuogauoga kweli. Mtu akianza kuongea tu kama anaelekea kuunga mkono tume ya Warioba kuna jamaa yupo stand by kuleta mawimbi mawimbi mawimbi. Mbona station zingine hazipati hayo mawimbi? ina maana mitambo ya TBC ni ya kichinachina?
 
Kulikuwa na Function gani na wapi ebu tupatie kidogo kilichojiri... Ikumbukwe kwamba CCM wanachuma Laana toka kwa waasisi wa taifa hili. Usishangae kwa hilo, si unajua haya mambo ni masuala ya muda tu. Hakuna yeyote mwenye kuyazuia mabadiliko....
 
Mkuu inachekesha.TV ya taifa kuonyesha mambo ya kijinga km hizo kuna mambo mhimu sana kutangaza lkn wao wamekalia taharabu.nimchosho cjui mshana ndio ubunifu wake umefikia hapo
 
Back
Top Bottom