TBC Mnakera sana!

TBC Mnakera sana!

Kama leo tbc taifa wamepata aibu ya mwaka kwa kukata matangazo live bungeni

Napenda kutoa angalizo kwa TANESCO wasije kuibeba falsafa hii ya TBC siku ya jumatatu

TBC ni ya umma na TANESCO pia fanyeni kazi kwa manufaa ya watanzania

Nna wasiwasi TANESCO watakata umeme nchi nzima ili kuvuruga matangazo!
 
Nadhani mtawalaumu tu TBC
(ijapo siipendi pia) kwani inaonyesha wao wanapokea maelekezo kuwa muda
huu watoke hewani nk! Maana kabala ya TBC1 kutoka hewani, tayari Star Tv
ambao nao wanarusha matangazo haya ya BMK walijiondoa hewani wakti Rev
Msigwa akiongea...yakuwa wanalazimika kutoka hewani kutokana na sababu
zilizo nje ya uwezo wao! Hii nikuonyesha mpango mahususi uliopikwa na
wapikaji ya taarifa gani zisiende kwa umma!

Wanaotengeneza hizi propaganda, wanashindwa kuelewa kuwa wanawapandisha
hasira wananchi wengi wanaofuatilia hili bunge kwa kushuhudia upuuzi
wao, tazama Lissu kuondolewa hewani leo, jana Mbatia akiwa anaongea
(kama Lissu leo)...umeme ulikatwa karibu nchi nzima!

umeongea point nzuri sana!hawa wafanyakaji wanapokea oda na wakisema wakatae wataenda wapi maskini,ila watanzania sio wajinga tena
 
umeongea point nzuri sana!hawa wafanyakaji wanapokea oda na wakisema wakatae wataenda wapi maskini,ila watanzania sio wajinga tena

Wameahaidiwa vyeo vya ukuu wa wilaya (vyeo ambavyo hata kichaa anaweza kuteuliwa). Huyu aliyekata matangazo leo mtamsikia kesho anazawadiwa ukuu wa wilaya.
 
Wameahaidiwa vyeo vya ukuu wa
wilaya (vyeo ambavyo hata kichaa anaweza kuteuliwa). Huyu aliyekata
matangazo leo mtamsikia kesho anazawadiwa ukuu wa wilaya.

anakua kama ramazani ighondu,unajaribu kuua,kesho unapanda cheo!utakuta nape au mwigulu ndo kawambia zima.
 
Watanzania tumepokwa chombo chetu cha habari na ccm,ndio maana makamba alimfukuza kazi tido mhuando,kwa kukataa kutumiwa
 
Pamoja na utaahira wa tbc kumkatia matangazo Tindu.pia wajumbe wenyeviti wa waliowengi au vibaraka wa ccm.wanaposoma maoni yao yaani ya waliowengi wanasoma kwa haraka haraka sana kama mashine ya cherehani.wanapofikia kusoma ya wachache wanasoma taratibu sana kama wamefungwa gavana ili tu muda uishe wasisome kurasa nyingi.ndivyo walivyoagizwa na chama chao.mwingine anadiriki hata kusema amechoka kusoma.
Ccm amuoni aibu? Njia ya muongo ni fupi.sasa imefikia mwisho wenu sasa hamna jipya tena.ondokeni sasa.
 
Wadau wenzangu habari.nashangaa sana hiitelevision ya taifa kwa kuzimamatangazo yanayoendelea katika bunge la katiba.hebu tuliangalie hili kwa kina imepelekea hadi bunge kuahirishwa hadi siku ya jumatatu.
 
Wadau wenzangu habari.nashangaa sana hiitelevision ya taifa kwa kuzimamatangazo yanayoendelea katika bunge la katiba.hebu tuliangalie hili kwa kina imepelekea hadi bunge kuahirishwa hadi siku ya jumatatu.

Sera ya chama inasema katiba ni siri so wanatekelza waliyoambiwa maana hawataki uwazi. ila nashukuru watanzania wameamka na hii hali itawafanya waone aibu sana. big up watanzania kwa muamko wetu
 
kuna umuhimu wa TBC kuifunga haina maana kabisa.yaani inazidiwa kabisa na SIBUKA TV.hata watangazaji wake nao ni washamba,hawana jipya wamezeeka fikra wangali vijana.vichwa vimelala wana mawazo ya 1970 wakati 2014.AMKA VIJANA
 
Ulitaka kwenye hivyo vipindi vya asubuhi wahojiwe makada wa CHADEMA wasio na staha katika lugha zao? TBC ni chombo cha umma na kinalinda maslahi ya Umma, wengi wanaohojiwa sio tu ni makada wa CCM pia ni viongozi wa serikali. Sioni ubaya hapo!

kweli unahasara kwa jamii na taifa maana mwana -------- ni hasara kwa mamaye
 
habari wana jm f,nadhani Watanzania wengi sasa wanafatilia Bunge la Katiba, na kwa sasa ni TBC pekee ambao wanarusha matangazo ya bunge hili moja kwa moja (sijui kwa nini TV zingine hazirushi matangazo ya bunge hili live) ila ,kwa kitendo walichofanya jana cha kutukatia matangazo nadhani kwa watu makini hakikubaliki na si tu hakikubaliki bali hakivumiliki na si cha kukifumbia macho hata kidogo. Haiwezekani kituo ambacho kinajinasibu kuwa ni cha taifa kikawa kinafanya mambo ambao tunayaona kabisa yanamlengo tofauti, si kazi yake chombo hiki kuwafanya watanzania wamsikilize nani na nani wasimsikilize ,si kazi yake kuwachagulia watanzania kitu cha kusikiliza na si kazi yake kufanya siasa,kama ambavyo hakipaswi kuonekana kinaunga mkono chama au kikundi chochote hasa katika swala la kutunga katiba ya nchi. Cha kushangaza chombo hiki cha TBC moja kwa moja kinaonekana kuwa upande wa CCM kwa kila jambo,na kimefikia hatua ya kukata matangazo pale tu watu wanaotoa hoja zinazopingana na CCm wanapowakilisha hoja zao,hii inaonyesha kuwa mchezo huu si huru kama unavyopaswa kuwa.

TUKUMBUKE KUWA WALIMFUKUZA TIDO MHANDO KWA SABABU TU ALIENDELEA NA MPANGO WA KUENDESHA KIPINDI CHA MCHAKATO MAJIMBONI-kwake haikuwa rahisi kukisitisha kwa kuwa walishahafikiana na shirika la BBC ambao waliwezesha kipinde kile kiwe hewani lakini kwa kuwa watu wa chama flani waliona hakina masirahi kwao wakamkataza kukirusha japo kwa kuwa yeye ni msafi alikirusha na yaliyomkuta wote tunajua.

SASA WAKATI WA KULALAMA NADHANI UMEPITA..Watanzania ambao kodi zetu zinaendesaha kituo hiki tunapaswa kuchukua hatua stahiki ili waelewe kwa vitendo kuwa tumechoka na vitendo vyao vya KIZANDIKI,KISHENZI,KIJUHA NA MANENO YOTE MABAYA WANAYOLANDANA NAO. TUELEWE KUWA WANAJUA KUWA HATUPENDI, ILA WANAFANYA KWA KIBURI KUWA TUTAFANYA NINI ,SASA TUWAONYESHE KUWA TUNAWEZA FANYA KITU JUU YAO.

NINATOA WAZO HILI HILI KWA MTU ANAYEWEZA KUTUPA USHAURI NA ITAKUWA VIZURI KAMA UKIWA WA KISHERIA NA KAMA HAKUNA JAPO TUAMBIANE NINI CHA KUFANYA ..BINAFSI NAWAZA KUANDAMANA PAKA OFISI ZA tbc NA MABANGO YENYE JUMBE MBALIMBALI JUU YA KERO HII..HII ITASAIDIA KWA KUWA WAANDISHI WA TV MAKINI KAMA itv, star tv,na waandishi wa magazeti kama ----- na MwanaNchi na wengineo watarusha habari hii na hii itakuwa aibu kubwa kwao.
kisha maandamano hayo yataelekea vituo vya ITV na STAR TV kuwalaumu kwa nini wanatuacha watanzania katika kutupa habari za bunge la katiba wakati wao ndio tegemeo letu na wao ndio tunaowategemea kama vituo vya TAIFA.

Kama tunaweza kuwasiliana na vyombo vingine kama watu wa HAKI ZA BINADAMU katika kupigania hili kwani habari ni moja ya haki zetu za msingi.

JAMANI HAYA NI MAWAZO YANGU NAOMBA MICHANGO YA KUFANIKISHA HILI. NA KAMA KUNA MTU ANAWEZA NIPA NAMBA YA MTU NAYEWEZA KUWASILIANA NAE KATIKA KULIWEZESHA HILI TAFADHARI NAOMBA.

na kama una kitu muhimu juu la hili na ungependa hiwe siri basi ni PM

nawakilisha wana jamii f.

bajar musica gratis
 
Kwanini nyie wana ukwata msiipige Bomu Kama Soweto mwambie lema akusaidie
 
Wadau wenzangu habari.nashangaa sana hiitelevision ya taifa kwa kuzimamatangazo yanayoendelea katika bunge la katiba.hebu tuliangalie hili kwa kina imepelekea hadi bunge kuahirishwa hadi siku ya jumatatu.
Pana msemo usemao "ukisangaa ya Musa utaona ya Firauni". Kesho si ajabu umeme kukatwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom