Unajua hata km unaitwyea ccm embu tumia akili kidogo..ni sawa kumkata mtu km prof kabudi akiongea maswala kitaalamu na kuweka taarabu..!?Ulitaka kwenye hivyo vipindi vya asubuhi wahojiwe makada wa CHADEMA wasio na staha katika lugha zao? TBC ni chombo cha umma na kinalinda maslahi ya Umma, wengi wanaohojiwa sio tu ni makada wa CCM pia ni viongozi wa serikali. Sioni ubaya hapo!
Shame on you mleta mada, shem on you mabwana zako