Televisheni ya Taifa (TBC) imetoweka hewani kwenye dish kwa zaidi ya wiki mbili sasa bila taarifa. Mbona hamtupi sababu au ndo mnatulazimisha tununue ving'amuzi vya mbia wenu Star Times? Tunakumbuka yaliyotokea enzi za Mkurugenzi wenu aliyeng'olewa. Acheni ubabaishaji. Tunataka kodi zetu zitumike kuhalali.
Mimi siamini katika ukabila, lakini naomba kujuzwa, jee kabila la mtu ni determinant ya jinsi atakavyoongoza shirika, kampuni au taasisi???. Nashangaa tu Mhando Tanesco magumashi, Mhando TBC bomba, Mshana TBC magumasi etc etc

Mi huwa siangaliangi channel ambayo hainimasishi kuangalia,ilishakosa Mvuto wa kuangalia.Labda Chereko.Kumbe haipo hewani.Hamia Star Tv,ITV.Uone Utofauti.Maprogram kem kem