Washauri kuanzia leo waache kuonesha hotuba za Marehemu Mwalimu Nyerere, nahisi una ubongo wa kuku wewe.Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!

Kusema kweli hakuna kipindi kinachonichefua kama cha BANGO, Ninavyoamini mimi, Mungu aliweka kuzaliwa, kuishi, kisha kufa. Na kwa kujua uchungu wa kuondokewa na mpendwa wako Mungu akatuumbia uwezo wa kusahau, tena kuuozesha mwili wa marehemu hadi kuwa udongo kabisa.Sasa hili la kuweka picha videoni kwa kisingizio cha TUNAMKUMBUKA ni upuuzi mwingine wa kudhani marehemu anatusikia! Kwanini wanafamilia watake marehemu wao akumbukwe na dunia nzima? Wao hawatoshi? Hebu jamani tuachane na ibada hizi za mizimu!!!

Kwani umeona picha yako huko?