Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Huyu mtu ameuliza swali akitaraji kupata hisia tofauti za watu tofauti sasa inashangaza kuona watu mapovu yanawatoka na kuonesha ujuzi usio na manufaa. Wengine mkajifanya mna akili saaaana kiasi cha kuuliza kama marehemu ana haki. Kama unafikiri ana haki, subiri afe ndugu yako halafu wewe kwa kuamini kuwa wewe ndugu ndio una mamlaka na mwili ule nenda kaufunue hadharani uuache utupu ndio utajua kama ana haki au hana.
Shida yetu ni kufikiri kwa kutumia viungo vya kukalia. Mm nilitaraji kuona maoni yanayofanania hivi japo kwa kupingana:
1. ''Mimi naona ni sawa kwani ni namna ya kuona upendo na hisia............kwa wapendw......''
2. ''Naona si sahihi kwani marehemu mara baada ya kufariki..........kwa Mungu na duniani.......'' na kadhalika.