Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!