TBC kuonyesha picha za marehemu kwenye 'bango' lao

katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
55
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!
 
kama familia inataka iwe hivyo we inakukera nini?hulazimishwi kuangalia,wamelipia wenyewe na mbaya zaidi ni mlkipindi cha kumbukumbu
 
Kawaulize ndugu wa marehemu ambao wamepeleka picha za marehemu kwa hiyari yao kama wanaona sawa au la! halafu kesho uje tena kuuliza kama kumweka marehemu ndani ya jeneza kiasi anakosa pumzi ni kumtendea haki au la!?
 
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!
Washauri kuanzia leo waache kuonesha hotuba za Marehemu Mwalimu Nyerere, nahisi una ubongo wa kuku wewe.
 
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!

Kusema kweli hakuna kipindi kinachonichefua kama cha BANGO, Ninavyoamini mimi, Mungu aliweka kuzaliwa, kuishi, kisha kufa. Na kwa kujua uchungu wa kuondokewa na mpendwa wako Mungu akatuumbia uwezo wa kusahau, tena kuuozesha mwili wa marehemu hadi kuwa udongo kabisa.Sasa hili la kuweka picha videoni kwa kisingizio cha TUNAMKUMBUKA ni upuuzi mwingine wa kudhani marehemu anatusikia! Kwanini wanafamilia watake marehemu wao akumbukwe na dunia nzima? Wao hawatoshi? Hebu jamani tuachane na ibada hizi za mizimu!!!
 
Suala la picha za marehemu ni la kifamilia..kama ndugu wa marehemu wameamua kupeleka wao wenyewe sioni tatizo.....
 
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!

Mtu akishakufa anakuwa na haki ipi huku duniani? Umekufa subiri haki yako kwa Mungu. Haya ya TBC ni mbwembwe tu za duniani zisikupe shida.
 
Kusema kweli hakuna kipindi kinachonichefua kama cha BANGO, Ninavyoamini mimi, Mungu aliweka kuzaliwa, kuishi, kisha kufa. Na kwa kujua uchungu wa kuondokewa na mpendwa wako Mungu akatuumbia uwezo wa kusahau, tena kuuozesha mwili wa marehemu hadi kuwa udongo kabisa.Sasa hili la kuweka picha videoni kwa kisingizio cha TUNAMKUMBUKA ni upuuzi mwingine wa kudhani marehemu anatusikia! Kwanini wanafamilia watake marehemu wao akumbukwe na dunia nzima? Wao hawatoshi? Hebu jamani tuachane na ibada hizi za mizimu!!!

Binafsi mimi nimefiwa mtu wangu wa muhimu lakini sitakuja kupeleka tangazo TBC. Lakini hiyo haiondoi maana kuwa watu wana hiyari ya kupeleka ama kutopeleka. Na demand ndiyo inafanya kipindi kiwepo. Kama wote wangewaza kama wewe manake demand ingekuwa 0. Maadam wapo wanaotazama na kufurahia hicho kipindi tuache waendelee kupata satisfaction...
 
sidhani kama ni tatizo its the only way they can honor them
mbona huzungumzii zinazotolewa kwenye magazeti?
picha hizo ni wakati wakiwa hai
zingewekwa picha zao wakiwa kwenye jeneza ndio mada yako ingekuwa na mshiko
 
ila kama hao wafu wanajijua kuwa ni wafu tuwaache waendelee kuipa tbc mapato maana hata hivyo ni njia mojawapo ya kuiingizia tbc pato
hongereni tbc kwa ubunifu
 
Kwa sasa TBC 1 wana kipindi chao kinaitwa bango ambacho hutumika kuonyesha picha za marehemu kwa chagizo la onyesha upendo wako kwa kuutangazia ulimwengu picha ya marehemu aliyefariki mwaka 1950! Nijuavyo picha hizi pamoja na kulipiwa gharama za kutangazwa, picha hizo hupelekwa TBC kwa hiari na ndugu wa marehemu. Je hii ni kuwatendea haki marehemu hao? Tuelimishane!

marehemu ana haki? zipi?
 
Kusema kweli hakuna kipindi kinachonichefua kama cha BANGO, Ninavyoamini mimi, Mungu aliweka kuzaliwa, kuishi, kisha kufa. Na kwa kujua uchungu wa kuondokewa na mpendwa wako Mungu akatuumbia uwezo wa kusahau, tena kuuozesha mwili wa marehemu hadi kuwa udongo kabisa.Sasa hili la kuweka picha videoni kwa kisingizio cha TUNAMKUMBUKA ni upuuzi mwingine wa kudhani marehemu anatusikia! Kwanini wanafamilia watake marehemu wao akumbukwe na dunia nzima? Wao hawatoshi? Hebu jamani tuachane na ibada hizi za mizimu!!!

Yesu alipposema Acha wafu wawazike wafu wenzao nafikiri kuna watu hawajaelewa somo. Wakikua wataacha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom