Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,067
- 702
Huyu Muro wamembeba haraka haraka na kumpandisha kizimbani lakini mafisadi kama Mzee wa vijisenti na Iddissa Rashid walionufaika na utapeli wa ununuzi wa rada na akina Jeetu, Manji, Subhash, Rostam walioifisadi nchi yetu kwa namna moja au nyingine bado wanapeta uraiani! Kweli sheria za Tanzania zimeoza kabisa.
Lakini MKuu hata wanaofikiswa mahakamani kwa ruswa si utasikia ni hakimu wa mahama ya mwanzo, watumishi wa kawaida, yale makambale hata siku moja hayawezi pelekwa mbele ya pilato, wana mikono mirefu, naona taasisi kama TAKUKURU ipo tu kutekeleza matakwa ya IMF na world Bank, pamoja na EU na US basi hakuna kingine, wakwanza kufikishwa mahakamani alikuwa ni Hosea na watu wake kwa uzembe Iringa huko MURo alipoenda kuvizia mapolisi TAKUKURU si wapo wanafanya nini, wanakula tu kodi za walala hoi bure, ivinjiliwe mbali tu hiyo taasisi