TBC imemuita nani hamnazo?

wa
Mkuu hili jina la mwendazake viongozi wa dini wamelikataa, utachukuliwa hatua. Ni matusi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kati ni jina langu. Nimewaruhusu litumieni wakija waambieni wanione.. Natamka rasmi kuwa Uzi na uendelee
 
Itabidi ng'ombe watembee kurudi nyuma ili 'kazi iendelee'
Sasa hivi chini ya Jumong Ng'ombe wanatembea kwa kurudi nyuma pia.Imagine hapo nyuma serikali ilishatangaza kuwa itatoa mamilion ya ajira kwa vijana halafu leo ghafla huko bungeni Serikali imetangaza kuwa hakuna ajira kwa vijana kwa hiyo vijana watafute namna!πŸ’πŸ’πŸ’
 
Nasikia kuna benki inaanzishwa ya vijana, em tusubiri labla kuna kijana kutoka mtaani anakwenda kuwa CEO wa hy benki
 
Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
Huku kufunguka kwa uwazi unakokuita 'kashfa' kunasaidia kuwapa watu ahueni(relief) ya machungu yaliyotokana na madhila yalisababishwa na utawala wa kikatili wa HAMNAZO.
 
Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
Huwezi kuganga yajajo bila kujua yaliyopita. Huu ujinga wa kusema tugange yajayo ndiyo umefanya waafrika wazidi kudidimia. Ni lazima tuzungumze, tukosoe, tushangae na kusahihisha yaliyopita ili yasijirudie tena. Hivi nyie mnaona msimamo wa Magufuli kwenye korona ulikuwa kitu cha kawaida? Yule jamaa alikuwa na mental case!!!
 
Ndio wamefikia huko???
Tafakuri naona kilikua ni kipindi maalumu kwa ajili ya bwana Hamnazo.
Mtangazaji alikua anaanza story mbaaali mara wakoloni hivi wakoloni wakafanya vile....mara anakuja kuibukia kwa Jpm jembe shujaa bla bla leo imefikia huku.
Jamani hivi kungetokea muujiza leo afufuke na kurudishwa kwenye kiti cha urais halafu atumie kama mwezi mmoja kuangalia, kusikiliza na kusimuliwa yote amabyo yamesemwa juu yake nadhani atakufa tena kwa mshtuko. Mama Samia ajihadhari sana sana na watu wanaomsifia. Ni wabaya sana. Bora aungane na wale wanaomkosoa.
 
Tena waafrika tunatishianaga kuwa waliokufa ukiwasema wanakurudia kukukaba kama mizimuπŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe ni mbinu ya wazee kujificha tusiseme mabaya yao
 
Tokea lini mbigiri zikaua, yaani wameshindwa kabisa kutafuta mfano hai ambao ungeendana na uhalisia wa hatari ya Covid-19
Alikufa kwa kulia siyo kwa kuchomwa na mbigiri.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa ' Keshaula ' Mkuu kwani nasikia kuwa ndiyo Official MC wa Shughuli zote za Mama ( Mheshimiwa Rais ) Samia Suluhu Hassan akichukua nafasi ya Yule Mzee wa aliyekuwa wa Mwendazake ( Hayati ) kutokea Mkoani Dodoma.

Mwendazake tumeshakatazwa kulitumia na Askofu Konki siku hizi anaitwa Hamnazo.
 
Kwa sasa huwezi kuelewa tunatoka wapi na kuelekea wapi na tupo wapisasa.
Kamati ya Amani ya wanaoitwa viongozi wa dini imekuja na mkakati wa kupiga marufuku jina linalotumika kumtambulisha kiongozi wa zamani kama "Mwendazake".

Jambo la kufurahisha TBC1 kwa ubunifu wao na utendaji wao wa haraka wakaja na mbadala wa jina kupitia kipindi chao kimoja mashuhuri cha baada ya habari saa 2 usiku, "HAMNAZO".

Jina hilo linaonekana kupokelewa kwa tashwishwi na kukubalika katika jamii. Kwa hiyo ndugu zangu tuheshimu hao viongozi wa dini na tuache kumuita Mwendazake bali tumuite Hamnazo kama alivyo tambulishwa na chombo chetu pendwa cha habari TBC1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…