Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,285
- 13,570
Confused Brainwashing Machine!Kwa wanaoangalia tbc hata kwa bahati mbaya watakubaliana na mm kuwa tbc wanakula mshahara wa bure na unafiki juu
TBC hawana uwezo wa kunilisha Matango-pori mana unafiki wao naujua kitamboOoh okay... So hamnazo ni Nani according to tbc?
NB: Ila pamoja na kulinda mwili wako na moyo wako vile vile linda akili yako isilishwe matangopori ya tbc
Kalala zake mpaka ufufuo ama wa kwanza au wa pili kulingana na matendo yake.Kwani hamnazo mwenyewe anasemaje?
Hii inaitwa ondoka usemweHamnazo anashangaa vile watu wanapindua meza
hawana uwezo wa kutulia,ananyevua rohoni maana ni mtu akiyeishi maono ya wengi.Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
Mahesabu yake tayari sio..Kalala zake mpaka ufufuo ama wa kwanza au wa pili kulingana na matendo yake.
mwezi wa 3 huu bado watu wanaweweseka.Kaitwa, Mwendazake, wapenda amani wapo kimya! Na sasa anaitwa, Hamnazo, hali ni ile ile! Mwisho, ardhi itaongea!
Baba Swalehe, tutake radhi, usilinganishe alkasusu na wafu wa mbigiri! Ukidhubutu kurudia tena, nitahamasisha wanywa alkasusu wenzangu tukufungulie mashitaka!Jiwe
Pogba
Aka alkasusu
Yashafungwa, na hata malipo yake huko yashajulikana.Mahesabu yake tayari sio..
Hivi bado Tbc wapo?Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno ‘hamnazo’ linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu...