TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

Isee, nimeona TBC1 ikabidi nirudi ITV. Tv ya Taifa ina matatizo sana, sijui hawaoni aibu wanapodanganya vitu ambavyo tunaujua ukweli? au wanahisi Tanzania kuna chombo cha habari kimoja
 
Hakuna daktari aliyeko kazini we endelea kutengeneza tamthilia za kukufurahisha badala ya ku propose solution.
 
uongo wa mchana kweupeee!!!nilikuwa mhimbili mchana leo hii pale Muhas taarifa za uhakika ni kwamba hata madaktari bingwa wameanza mgomo.
 
Usicheze na ajira wewe, watoto wantakula pumba? JK ulitakiwa umwe mkali mapema! Asiyeridhishwa na malipo ya 3.5 M aATAFUTE MUAJIRI ATAKAYEMLIPA PESA HIYO SIO KUGOMA.
 
nashukuru mungu huku niliko vimitambo vyao vichovu havifiki.:typing:
 
Bado tu mnataka kuleta siasa kwenye uhai watu Chadema bana!!!

Chama
Gongo la Mboto DSM

Sio mambo ya CHADEMA wala CCM chama, ni upofu wa watu waliopewa madaraka wanaacha kutatua matatizo badala yake wanatupia kelele za propaganda. Madaktari hawajaanza kusema leo kuhusu kudorora kwa huduma za afya. Wabunge wenyewe (angalia hansard) kila wakikaa wanalia na huduma za afya. Lakini kila mwaka wakubwa wanatoa ahadi bila ya kuzifanyia kazi. Sasa imefikia mahali kila mwenye pisa ni India!

Ni juzi tu madaktari wenyewe wameshindwa kumtibu mwenzao (Dr Ulimboka) kwa sababu hawana vifaa! Kwanini viongozi hawalioni hilo? Na kwa nini bunge linatumika kuzima watanzania mdomo?
 
Mh, siamini hadi kesho nitakapojionea mwenyewe, maana nchi hii
hamchelewi kuchakachua hata nyaraka nyeti...
 
Kwanini Pro-Chadema, hawafurahi kuona mgomo unaisha? kuna swali lisilo na majawabu hapa wadau!
 
Madaktari bingwa wametoa tamko kwamba wamegoma, TBC1 wanadai hali imeimarika! Kweli Tanzania ya Dhaifu ni zaidi ya uijuavyo! Au wamemchukua yule aliyekuwa waziri wa habari wa Saadam, Alsahaf, a.k.a "Comical" Ally kuwa mkurugenzi mkuu wa TBC!


Usimchanganye mpumbavu Al-saaf na kamanda wa ukweli Ally Majid Al-tikrit al maaruf kama Chemical Ally...
Hao ni watu wawili tofauti....

endelea...
 
Mkuu naona utaki kabisa Madaktari warudi kazini mnataka mgogoro uendelee Chadema mpate pakusemea.

Ritz, leo sitaki kujibizana sana maana Stella Manyanya kanitibua nyongo kwa kumuita Dr Ulimboka Hitler, mbele ya bunge! How cruel!
 
Ni uongo wa tbc huu na magamba kupotosha wananchi na kuwapa matumaini hewa. Mgomo rasmi umeanza na lugalo yazidiwa na wagonjwa. Acheni umanyanya huo.
 
Mkuu mbona tumemsikia Dr akiongea anasema wamerudi kazini na wanamuomba rais waendelee na mazungumzo.

Mkuu hyo nisehemu ndogo sana ya msimamo wa mdr. Baada ya kikao cha dharura kuna kipande cha habari kimekatwa.
 
Back
Top Bottom