TBC aibu tupu - Maigizo matupu

Hizo n dio zao TBC hawakuanza leo. Kama ulivyosema unaweza kufikiri mtangazaji hajaenda shule kwani hata mtoto mdogo atawazidi kwa umakini. Wao bado wako kwenye falsafa ya kusema mfalme kavaa nguo iliyoshonwa vizuri wakati yuko uchi wa nyama. Watu wako mbali kwa sasa sio mazumbukuku. Wanatakiwa wasome alama za nyakati la sivyo......
 
Tbc television kongwe ya chama cha mapinduzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani ndugu zanguni, mimi sijui kama mna uchungu na mwenendo wa hii serikali kama mimi, nimeangalia habari TBC leo jinsi ambavyo wanatangaza etc, very stupid and no creativity, nafikiri mkurugenzy wake ameamua kutotumia akili yake kabisa, ***** mtupu!

Wanatangaza habari au wanajaribu kuwa wana CCM wa serikali corrupt ya Kikwete? naona watangazaji wake wamefikia hatua ya kuongelea and in a way if you read between the line kuwashauri madaktari wasigome, haya mi madudu na ujinga ambao hata mwanangu wa miaka 10 hawezi kufanya.

Wanaongea tu kuwa watu wanakufa, na kuwalaumu madaktari, can you imagine hii ni demand ya watu over 40,000 against 2 people ambao wanataka watu wa 2 tu wajiuzulu, ni lawama kwa madaktari kugoma watu wanakufa, lakini sio lawama kwamba inasababishwa na kukumbatia mawaziri wawili corrupted wa serikali corrupted!

Halafu hawa vilaza wakati mwingine wanatangaza kitu kingine, na kuweka video au taarifa tofauti na kile wanachotangaza, then wanasema kumradhi ..... very stupidy, nilikuwa sina uwezo wa kuweka DSTV kwangu, ila nimempigia Babu yangu nampa STAR times yangu then kwa udi na uvumba niweke DSTV.

My take:

Siku inakuja, nayo yaja, ambapo HAWA wote tuta wa Libya, subirini tu, nimechoka na huu ujinga.

Nawasilisha wakuu

Wewe mhasibu unahasira sana, labda kwa sababu Utoh alipokuwa Nbaa alikukamata sana akakujengea tabia ya kuwa na hasira
 
Hakuna haja ya kuita Shirika la utangazaji la taifa, ngoja mambo ya libya yaanze hapa, tutaanza na wao na wengine wanaofanana nao
 
UKitaka kuona TBC ni wapuuzi angalia uchambuzi wa magazeti habari zinazohusu CHADEMA wanaruka na serikali wakati ni vichwa vya habari vikuu. Yaani hakipaswi kuwa chombo cha Taifa......Naipongeza ITV kidogo
 
Hivi tbc bado wapo, maana cjaangalia hiyo channel long time hakuna kipindi cha kupoteza muda wa great thinkers.
 
Tbc wanaacha kulipoti uhalisia wa mambo wanageuka kuwa idara ya propaganda ya chama cha mapinduzi,jana toka asubuhi wanawasihi madaktari wasigome sijui wametumwa na nani?hata jana usiku walimualika mzindakaya na kasesela sijui,ambao walikuwan wanawasihi madaktari wamrudie mungu mungu yupi tena?hawa wanaiba mchana kweupe mbona hawawashauri wamrudie mungu,tbc imepoteza muelekeo inarudi enzi za tvt......
 
Back
Top Bottom