tbc 1

TBC Bank (Georgian: თიბისი ბანკი) is a Georgian bank headquartered in Tbilisi, Georgia. The name, TBC Bank, traces its root to its original name, Tbilisi Business Centre, dating back to 1992. Currently, TBC is registered as the official name of the bank, not just an abbreviation of the original name.
It is listed on the London Stock Exchange and is a constituent of the FTSE 250 Index.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimeota TBC 1 Inaonesha maudhui ya ngono.

    Wahusika Jimama moja nene hivi zurizuri na kijana mwembamba mrefu. Muda: kipindi cha taarifa ya habari. Nini tafsiri yake?
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini wachambuzi wa soka wanaikimbia TBC 1?

    Naona aliyebaki ni Mkwasa pekee, naye ni Kama anajuta kubaki Unadhani kisa gani kinasababisha wachambuzi wa soka kuikimbia TBC?
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ? Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania TBC 1 Huyo mchambuzi Mgaya hajui kitu

    Hivi huyo Mgaya mnamlipa?mbona hajitambui au anajitolea tu?
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TBC Taifa na TBC1 washinda Tuzo za Vituo Bora vya Maudhui ya Redio na Televisheni - Samia Kalamu Awards 2025

    Kituo cha Redio cha Taifa 'TBC Taifa' na kituo cha Runinga cha TBC1 wachaguliwa kama vituo bora vya maudhui ya Redio na Televisheni kama washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025. Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5...
Back
Top Bottom