TB Joshua

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
Wana jf nimekuwa nikimsikia sana TB JOSHUA lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
 
Mbona kazi ndogo tu! MP Lowasa atakupatia contact zote za T.B Joshua, hata ukitaka nauli anaweza kukupatia.
 
Wana jf nimekuwa nikimsikia sana TB JOSHUA lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
emmanuel tv,..by the way wa nini mkuu_mbona hata kwetu wapo tena wengi.
 
Wana jf nimekuwa nikimsikia sana TB JOSHUA lakini sijawahi kuona kipindi chake na sijui ni channel gani kupitia king'amuzi au
Tv yake inapatika Kama una dish lwe na LNB ya KU Band weka frequince 12682 na symborate 26657.
Hapo bila shaka utampata na utafaidika na mengi.
 
IGWE
Usihofu wanasema jionee usingoje kuambiwa coz namsikia sana akipigiwa promo sina jipya sana
 
Je unalo dish linaloshika itv au tbc ? Kama unalo mwite fundi unanunua lnbf ya ku band inauzwa elfu kumi tu atakufungia utapata iyo chanel na zingine nyingi sana zinafika kama 35 hivi
 
Back
Top Bottom