Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,458
Una uhakika au umeandika tu?
Hayo maandiko hayakusema kuwa hawatakuwepo manabii wa ukweli!
Mtawatambua kwa.matendo yao!
Na tumeamuriwa kuzipambanua Roho....
Km uba roho wa Mungu atakufunulia walio wake
Shida ni kuwa mnaenenda kwa.mwili na haya ni ya rohoni
nina uhakika kabisa kuwa kuna manabii wa uwongo na ndio hao walio wengi.
Biblia ziliwekwa ili zisomwe na watu wajue namna ya kuenenda ktk roho na kweli. Ila haya ya kuniletea mtu anakugusa na kidole na mtu anapona hyo siamin.
Uponyaji wa Mungu huja kwa wakat wake yeye.