Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,488
- 33,679
Kuna siku nilikua kwenye maombi,mhubiri akawa anasema,''usipomkubali yesu utatupwa jehanum,katika ziwa la moto.''husi hukumu mwache mungu ahukum.
hapa bila kupepesa ni kuhukumu kabla mungu hajahukumu.
afterall,si yesu mwenyewe anadai kama jina lako halipo katika kitabu cha uzima ni kazi bure hautapata wokovu.
kwamaneno mengine majina tayari yapo yameandikwa,kwahiyo hao wahubiri a.k.a manabii wanapoteza mda wa watu bure,kwani hakuna aya inadai katika kitabu cha uzima kitakua kinakuwa updated.
kila kitu kwamjibu wa maandiko kimeshapangwa tayari.