macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,482
- 61,396
Mungu kaamua kuonyesha Utukufu wake.
Msitudanganye.
Mungu anasingiziwa kila kitu! Amejenga ghorofa ya matope mnamsingizia Mungu!
Mungu kaamua kuonyesha Utukufu wake.
Msitudanganye.
Ivi mnavoenda hija mnaendaga kumuamin nani???? au kwa mashehe kusomewa dua huaga mnaenda kumuamin shehe???? Ukijibu ili swali na ulichoniulza kitakua kishapata jibu...
lilikuwa jengo jipya kabisa wala sio linaongezewa
Siamini katika mambo kama hayoTunaambiwa vile vile kuwa jengo hilo lilikuwa linajengwa kuongeza ghorofa na ndiyo sababu. Ya kuanguka.
Huyo bwana TB Joshua asikwepe mkono wa sheria!!
Ivi unavoenda msikitini au kansani yule anaekuongoza ibada ndie unaemuamin au mungu???
ww mtoto nitake radhi tafadhar ! Umewahi kuniona msikitin?
Naamin ktk kristo mwana wa Mungu akaaye mkono wa kuume wababa.
Mh...hakuna cha bomu wala nini,mungu ametendaMasai dada na fungwe.haijulikani ni bomu au ni nini,anasema security intelligence wanashughulika
Binafsi Huwa Siwakubali Kabisa Wahubiri Wa Aina Ya TB JOSHUA WAKIKUSHIKA, WANAKUSIKA HADI JINSI YA KUFIKIRI.
bahahahaha, kazi kwelikweli, hapo ameshapata kick tayari na mapoyoyo watasema amen!
Wengi watakuja kwa jina langu wakisema,MIMI NI KRISTO NA WATAWAPOTEZA WALIO WENGI.mm sijahukumu ila nmekopi maneno yaliyopo kwenye biblia.
Ila nmesahau kifungu lakn hayo n baadh ya maneno ambayo yesu alikuwa anawaambia mitume wake walipouliza siku ya kuja kwake...
Kama msomaji mzuri wa biblia utakubaliana na mm kuwa kati alama zote za sku mwisho alizozitaja yesu zote ndio znatimia..
Njaa, vita,magonjwa, upendo umepoa, uvumi na ujio wa manabii wanaoponya na kuhubiri.
mm sijahukumu ila nmekopi maneno yaliyopo kwenye biblia.
Ila nmesahau kifungu lakn hayo n baadh ya maneno ambayo yesu alikuwa anawaambia mitume wake walipouliza siku ya kuja kwake...
Kama msomaji mzuri wa biblia utakubaliana na mm kuwa kati alama zote za sku mwisho alizozitaja yesu zote ndio znatimia..
Njaa, vita,magonjwa, upendo umepoa, uvumi na ujio wa manabii wanaoponya na kuhubiri.
unajua mkuu kabla ya kuanza kuchangia mada ni vema ukatafakari mazingira ya nigeria kwanza kabla ya kujaza ushabiki wa kidini. nchi ya nigeria inapita kwenye kipindi cha mpito kwa mashambulio ya kikundi cha boko haram. siyo jambo geni nyumba za ibada kushambuliwa nchini nigeria. na dhani tatizo lako ni wapi limetokea.na kanisa gani? ni hukweli usiopingika tbj ni mtu mashuuri na jinsi anavyolitumia jina la yesu kufanya ishara na maajabu anachukiwa na watu wengi wewe ukiwa miongonimwao. ndio maana mchango wako umekaa kiupinga kristo. ukweli ni kwamba huwezi kuwazuia watu wasiende kwa tbj kama wakristo wasivyoweza kuwazuia waislam wasimuamini kiongozi wao.au kwenda hija. izo ni ajali kama ajali nyingine. na mamia na maelfu watazidi kwenda kwa tbj kama walivyofanya kwa yesu kristo bwana wetu. mwisho mungu awepamoja na watakatifu wake wote waliopo [scoan] na wanaotarajia kwenda kwa nabii mkuu tbj amen.samaani kama nimewauzi wengine wasio mpenda yesu kwani yesu anawapenda alikufa kwa jili yao.
Siamini katika mambo kama hayoTunaambiwa vile vile kuwa jengo hilo lilikuwa linajengwa kuongeza ghorofa na ndiyo sababu. Ya kuanguka.
Huyo bwana TB Joshua asikwepe mkono wa sheria!!
Wengi watakuja kwa jina langu wakisema,MIMI NI KRISTO NA WATAWAPOTEZA WALIO WENGI.
Na siku ya mwisho watakuja pale getini wakisema,''bwana tulifanya miujiza mingi na kuponya kwa jina lako'',NAMI NITAWAMBIA,''ONDOKENI HAPA SIWAJUI''.
kuna mlipuko uliosikika? na kwa nini tb joshua asiwaachie hiyo kazi ya kutafuta chanzo mamlaka husika?!
"Sources say there was an ongoing construction at the top of the building to create more accommodation for worshippers", au watakuwa wanapotosha tu mkuu? ukweli ukoje?
sasa kila nabii mnasema ni wa uongo, wa kweli ni yupi? je Yesu alimaanisha kuwa hakutakuwa na manabii wa ukweli hata kama ni mmoja tu?
Kumbe unaambiwa!
Nilifikiri umeona
Sisi tumeona coz tulikuwa huko