Pole nabii wenu kaumbuka...manendelea kumwamini? mimi simtegemei mtu Imani yangu ni kwa Yesu pekee ndiye Mwamba wa Wokovu wangu.
Hahaha kumbe hujui kwamba hata wanakwenda kwa TB Joshua Imani yao ni kwa Yesu tu. Hakuna anayemwabudu kwakua si Mungu. Chukua dakika chache tu kumsikiliza huyu mabii utajuw kuwa hata yeye anamtegemea Yesu kama Bwana na mwokozi wake.