Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

. mgiriki kwenye biblia pia yesu alituonya wakristu wa uongo na manabii wa uongo watakuja na kuwadanganya hata wateule"..
kingine inasema"muumini yoyote ambaye ameisoma na neno la kweli na amefanyia uchunguzi biblia kwa makini anaweza kuchambua"huyo anaweza kujua kanuni za kfanya uongo
 
Last edited by a moderator:
bas siku za mwisho kutakuwako na tetesi nyingi na wengi watakuja kwa jina langu. Watawabatiza na watawaponyonya wagonjwa na watawaombea wenye pepo wachafu nao watapona.
Lakn angalien wasiwadanganye wala wasiwapotoshe.
Hao wote ni manabii wa uwongo.
.................. Jamii imepotea manabii wa uwongo wameiteka dunia lakn hizo zote n siku za mwisho........

Una uhakika au umeandika tu?

Hayo maandiko hayakusema kuwa hawatakuwepo manabii wa ukweli!

Mtawatambua kwa.matendo yao!

Na tumeamuriwa kuzipambanua Roho....
Km uba roho wa Mungu atakufunulia walio wake
Shida ni kuwa mnaenenda kwa.mwili na haya ni ya rohoni
 
Yaani kipofi, ni kipofu tu. Ameshakuja na njia mpya ya kuwadanganya wajinga wake nanyi mnaingia kichwakichwa dah hadi huruma Yaani, kwa hiyo ndege ikizunguka jengo linaanguka? Ingekuwa hivyo Mwalimu nyerere airport na majengo ya kipawa yote saa hizi yangekuwa down maana ndege kubwakubwa daily zinapita

Ndugu yangu hawa wajingawajinga ndo mtaji wao hawa matapeli aina ya TB Joshua. ameanza kueneza propaganda na tayari wapambe wake wanashabikia wakati watu wameuwawa kwa uzembe wa kurundika watu eneo moja bila kuangalia usalama wa jengo. Let us be serious!
 
huenda media zinatudanganya mkuu (sijui kwa maslahi ya nani), wafuasi wake wanasema walikuwa huko mwezi wa sita jengo ni jipya na hakukuwa na ujenzi wowote ukiendelea juu!

Kwani wewe na utu uzima wako hujui kuwa media huwa zinadanganya?
 
Una uhakika au umeandika tu?

Hayo maandiko hayakusema kuwa hawatakuwepo manabii wa ukweli!

mimi huwa nashangaa watu kung'ang'ania na manabii wa uongo, ukiwaambia wataje wa ukweli hawataji. sasa je hizo siku za mwisho manabii wote watakuwa wa uongo?
 
mm sijahukumu ila nmekopi maneno yaliyopo kwenye biblia.
Ila nmesahau kifungu lakn hayo n baadh ya maneno ambayo yesu alikuwa anawaambia mitume wake walipouliza siku ya kuja kwake...
Kama msomaji mzuri wa biblia utakubaliana na mm kuwa kati alama zote za sku mwisho alizozitaja yesu zote ndio znatimia..
Njaa, vita,magonjwa, upendo umepoa, uvumi na ujio wa manabii wanaoponya na kuhubiri.

Kwahyo wote wanao hubiri neno la Mungu na kuponya nyakati hizi ni waongo mi siamini kwakweli lile ni neno ukitumia kifungu kimoja ku judge mambo kwenye bible inahitaji uelewa wa juu wa roho mtakatifu sana ndo mana nikasema only God knows sasa hata mi nikimuombea mtu apone ni waoungo nabii from what i know wapo wa kweli na waongo kama bible inavosema pia wakweli wapo
 
.. queeny wewe unawaamini hawa manabi wa sasa
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika au umeandika tu?

Hayo maandiko hayakusema kuwa hawatakuwepo manabii wa ukweli!

hilo nalo swali. manabii wa uongo m 1 wao ni yule hapa nchini anaewambia watu kunywa pombe ni dawa ya ukimwi.konyagi na sigara ya sm ni dawa ya kifua.pia anasema kuoa wake wengi au maausigeli ni baraka.huyo ndiye nabii wa uongo na mjumbe wa shetani maana yesu alisema kwa matunda ya matendo yao mtawatambua. sasa baadhi ya wakristo na wasio wa kristo wanawashambulia watumishi wa hukweli na kuwaacha watumishi wa shetani. naihi ni tatizo la kutokuyajua maandiko.ikiwa viongozi wa dini nyakati za bwana wetu yesu walimwita anatumia nguvu za giza kufanya miujiza sembuse mtu wa mungu nabii joshua?
 
Ndugu yangu hawa wajingawajinga ndo mtaji wao hawa matapeli aina ya TB Joshua. ameanza kueneza propaganda na tayari wapambe wake wanashabikia wakati watu wameuwawa kwa uzembe wa kurundika watu eneo moja bila kuangalia usalama wa jengo. Let us be serious!

wewe uliwaona wamelundikana?
 
Ww ndo inabidi uangalie status yako vizuri ili ujue ni mjinga au la. jengo lililoangua ni jengo jipya lilikuwa linajengwa, wala hakuna watu wanaoishi humo, unatakiwa uwe na habari ndo utoe habari, hii tabia ya kukurupuka ulipotoka ukichanganya na frustration za maisha unaanza kutoa comment Kwa kitu usichokijua Kwa chuki, wivu, roho mbaya, Kwa comment yako hii hivi unaubavu wa kumwambia mwanao aache ujinga au atumie akili?
 
SCOAN Mpaka mje kuzinduka usingizini itachukua mda
 
wewe uliwaona wamelundikana?

Mmoja wa wafuasi wake huyu. tunawaambia kila siku lakini nisikio la kufa... pole mtaendelewa kudanganywa na hawa matapeli huku mkijifariji kwa jina la Mungu. Yesu alisema hakuna ajaye kwa Baba Isipokuwa kupitia kwake yaani Yesu Kristo Pekee. Ukisikia mtu ansema njoo nigeria nikupe maji ya uzima... hao ndo manabii wa uongo shtuka haraka. Yesu anapatikana hata hapo ulipo kwa kusoma neno lake (Biblia) na kufuata maagizo yake fullstop.
 
huu unabii thing imekua biashara tu siku hizi binadamu hana uwoga kabisa sahvi mambo wanayofanya hata shetani atawaogopa
hao manabi na wachungaji wa sasa kijubwa wanajua kuwa brainwash waumini wao akili tushaona kwa wengi tu hapa kuna watu zamani walikiwa wana sali kule mwenge kwa yule jamaa aliyekuwa ana zuia zisiwekwe nguvu za umeme ila badaya wakaja shtuka......ila siku zote wajinga hawaishi labda bahari ikauke dunia nzima
 
hao manabii wa sasa kuna wa kweli na wa uongo. mimi nawaamini wa kweli

ni kweli kabisa princess. kuna manabii wa ukweli na wauongo. tatizo la watu wengi ni watu wa dini na hawajazaliwa x2 hawa somi neno la mungu wao hutungiwa vijitabu vya mapokeo.ndio maana wanashindwa kuwatofautisha watumishi wa kweli na uongo.maana bibilia inasema wazi wazi na kuwapambanua watumishi wa uongo na ukweli. haijaficha ndio maana yesu aliweka wazi kwamba kwa matendo yao mtawatambua.
 
Ww ndo inabidi uangalie status yako vizuri ili ujue ni mjinga au la. jengo lililoangua ni jengo jipya lilikuwa linajengwa, wala hakuna watu wanaoishi humo, unatakiwa uwe na habari ndo utoe habari, hii tabia ya kukurupuka ulipotoka ukichanganya na frustration za maisha unaanza kutoa comment Kwa kitu usichokijua Kwa chuki, wivu, roho mbaya, Kwa comment yako hii hivi unaubavu wa kumwambia mwanao aache ujinga au atumie akili?

Pole nabii wenu kaumbuka...manendelea kumwamini? mimi simtegemei mtu Imani yangu ni kwa Yesu pekee ndiye Mwamba wa Wokovu wangu.
 
huu unabii thing imekua biashara tu siku hizi binadamu hana uwoga kabisa sahvi mambo wanayofanya hata shetani atawaogopa
hao manabi na wachungaji wa sasa kijubwa wanajua kuwa brainwash waumini wao akili tushaona kwa wengi tu hapa kuna watu zamani walikiwa wana sali kule mwenge kwa yule jamaa aliyekuwa ana zuia zisiwekwe nguvu za umeme ila badaya wakaja shtuka......ila siku zote wajinga hawaishi labda bahari ikauke dunia nzima

uki mpa yesu maisha yako utaujua ukweli.kwa sasa huwezi kujua kwa kua ufalme wa mungu haujafunuliwa kwako.
 
Back
Top Bottom