TB Joshua....Emmanuel TV

everything is insided of u,so kama watu wansema alikamatwa na sembe...what do u say?...Faith is a key to every locked gate!
 
Asante kwa ushauri Mzuri.
 
Elli asante kwa ushauri huu kwa ajili pia yetu wote,
Maombi ni kitu cha ajabu sana;
hasa maombi ya machozi huwa yanajibiwa wakati huo huo;

Kuna wakati tulikuwa tunaamshana kwa ajili ya kumwombea mwanafamilia mmoja aliyepata
virusi hautaamini lakini nakuambia kuwa yule kijana alipona hii iliwashangaza hata
madaktari waki;lakini Mungu wetu ni Mwaminifu huwa anasikia maombi yetu
na kuyajibu

 
Last edited by a moderator:
umenitaja sijakuelewa ila nimesoma comenti yako imenigusa
 

HILI DOZI IWE KAMILI ONGEZEA NA HII:

Mark 11:24
"Therefore I tell you,whatever you ask for in prayer BELIEVE that you have received it, and it will be yours"
 

nitajitahidi sana na namuomba Mungu aniwezeshe pia nikukumbuke kwenye maombi.
 
kb52,
hebu ingia hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/497303-je-wewe-ni-mhasibu-tuma-cv-faster.html
 
Last edited by a moderator:
Email is fake and the website too.
 
TB Joshua is the TRUE MAN OF GOD.
 
Jana kabla sijalala...nilishika screen wakati TB Joshua anawaombea viewers...nikatetemeka mwili. Nashangaa leo. ..naitwa interview TRA. MUNGU ANIPIGANIE NIIPATE KAZI HIYO. AMINA.
 
Kweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jana kabla sijalala...nilishika screen wakati TB Joshua anawaombea viewers...nikatetemeka mwili. Nashangaa leo. ..naitwa interview TRA. MUNGU ANIPIGANIE NIIPATE KAZI HIYO. AMINA.

mungu akutangulie.
 
HILI DOZI IWE KAMILI ONGEZEA NA HII:

Mark 11:24
"Therefore I tell you,whatever you ask for in prayer BELIEVE that you have received it, and it will be yours"




Ameen Man of God !
Gooo deeper.
 
Ni kweli...huwezi kuamini. Nilijiona kama mwili unavibrate....kama kitu kinapita. Trust me...it happened!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…