TB Joshua....Emmanuel TV

TB Joshua....Emmanuel TV

usimkosoe mtumish wa mungu,mungu pekee ndo anamjua vizur,pia muujiza unatok kwa mungu tu...
 
Kumbe watu kama nyie bado mpo ndio maana mapastor wa siku hizi wanazidi kupata hela tu.. Mwenyezi Mungu ni mmoja na anasikia maombi ya mtu yeyote ni imani tu, hii mambo ya sijui niende kwa nani nani aniombee sijui mmemezeshwa na nani. Mnawatajirisha akina kakobe, bonke, lusekelo na rwakatale bure tu
 
ingekuwa kazi zinapatikana kwa maombezi watu tusingesoma tungeshindana kuomba na kuombewa.tuache injili na siasa kwenye maswala ya msingi.kaka siku ya kupata ikifika utapata tu zidi kuomba tu basi manabii walishakufa wote.wakiobaki ni viongozi wa saccos ziitwazo kanisa na zikijitangaza kupitia yesu mtoto wa seremala mumewe maryamu.
 
hakuna cha mchungaji wala nn. hao ni wasanii na wafanyabiashara wa madawa hakuna dini hapo. yani kama wanayofanya mapadre akina slaa ndo type hiyo.
 
Yesu ni Alpha na Omega.

Yesu hakuna linaloshindikana Kwake.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yesu ni Alpha na Omega.

Yesu hakuna linaloshindikana Kwake.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kumbe hashindwi,bac ombeni dr slaa awe rais 2015 kama itatokea hiyo miujiza kama ya mchungaj loliondo.
 
Back
Top Bottom