TB Joshua....Emmanuel TV

TB Joshua....Emmanuel TV

Mimi simjui huyo TB Joshua ila namjua Bonke kwamba aliwahi kukamatwa kwa ushoga na akikiri mbele ya watu na kuomba radhi kwa mke wake kwa matendo aliyokuwa anayafanya. Ninachotaka kusema ni kwamba husiombe kwa mtu au mchungaji au padre bali omba kwa Mungu wako naye atasikia sala zako kama kweli umeomba kweli
Kabla ya kuomba fuata haya:
MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU. *Rum 8:26-27 *Yoh 14:16-17
FANYA TOBA NA UTAKASO. *Isa 59:1-2, Yoh 9:31, 1Yoh 1:8-9,7
Sikio la Bwana si zito kusikia wala mkono wake si mfupi kushindwa kututendea mambo tumwombayo, bali maovu yetu ndiyo yanatufarakanisha na Mungu wetu. Mungu hawasikii wenye dhambi. Hivyo chukua muda wa kutafakari na kuungama dhambi zako mbele za Mungu na kuzitubu kwa kumaanisha kuziacha. Mungu ni mwaminifu kutusamehe na kututakasa na uchafu wote. (Isa 1:18). Lakini, kabla hujafanya toba yako binfsi;

za, samehe wote waliokukosea, hata kama hawajaja

kukuomba msamaha. Usipowasamehe waliokukosea, na Mungu
hataweza kukusamehe wewe. (Math 6:12,14-15)

(ii) - Ndipo nawe ufanye toba yako binafsi. Na Mungu atakusamehe kabisa.
Hata kama ni nyekundu sana, zitakuwa nyeupe sana. (Isa 1:18, Isa 43:25)

3. MSIFU, MUABUDU NA KUMSHUKURU MUNGU. *Zab 147 na Zab 148

Msifu Bwana kwa Matendo yake makuu, mwabudu Bwana kwa uzuri wake na kwa sifa zake. Mwadhimishe Mungu kwa Tabia zake, wema wake, fadhili zake na baraka zake mbalimbali anazotutendea. Sifa yako ikifika vizuri mbele za Mungu, ndipo atakuwa tayari kukupa haja za moyo wako. Haja zetu zimefichwa nyuma ya mgomgo wa sifa. Ndio maana Neno linasema;

‘Nawe utajifurahisha kwa Bwana (kwa kumsifu, kumwabudu na kumshukuru), naye atakupa
haja za moyo wako’ (Zab37:4).

Yesu anatuonyesha mfano; angalia sentensi yake ya kwanza katika kuomba kwake imekuwa “Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe.” (Math 6:9). Anaanza maombi kwa kumsifu Mungu. Msifu Mungu kwa kuimba na kwa kunena/kusema/kuelezea. Mungu anataka kusifiwa na kutukuzwa. Ukifanya sifa nzuri, ya kuufurahisha moyo wake, atakupa hata na vile ambavyo hukutegemea/hukuomba.
4. MWELEZE MUNGU MAHITAJI NA HOJA ZAKO. *Wafilipi 4:6-7,19 Isa 43:26

Mweleze Mungu zile hoja zilizokusukumwa kwenda kumwomba. Nenda mbele za Mungu kama ‘kuhani’ (1Pet 2:9). Kwa unyenyekevu na heshima. Lakini kabla ya kumweleza mahitaji yako binafsi;

(i) Kwanza fanya ‘maombezi’ – ombea watu wengine; (1Tim 2:1-4)

Viongozi mbalimbali na wenye mamlaka, watumishi wa Mungu, marafiki zako, wenye shida, ndugu zako, nchi yako, shule yako, shirika lenu, ofisi yenu, chama chenu, n.k. Usianze kujiombea mwenyewe tuu, zoea kuwatanguliza wengine.

(ii) Kisha fanya ‘maombi yako’– ombea haja za moyo wako. (Math 7:7-11)

Mweleze Mungu haja zako. Ongea na Mungu kwa uwazi na ukweli. Japo anazijua haja zetu, lakini ameagiza kuwa tumwombe ndipo atafanya. ‘aombaye hupokea’ yaani; asiyeomba, hapati. Mungu anasema tumpelekee hoja zenye nguvu (Isa 41:21). Omba vitu vizuri na mambo makubwa ili upewe (pray for good things and big things)

5. FANYA MAOMBI YA VITA VYA ROHONI. *Efe 6:10-13 *2Kor 10:3-5

Baada ya kumwendea Mungu na kumweleza mahitaji yako, sasa simama kama ‘mfalme’, kwasababu wewe ni ‘mfalme’ (Ufu 5:8), tumia mamlaka yako ya kifalme, ongea na hali/hitaji ulilokuwa unaliombea, na kwa mamlaka, amuru iwe kama vile ulivyoomba/unavyotamani. Ndio maana Bwana Yesu alipokabidhiwa mamlaka yote na Mungu, naye akatukabidhi sisi (kanisa lake) “Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule adui. Wala hakuna kitakachowadhuru” (Luk 10:19, Yer 1:10, Yak 4:7). Tuma neno lenye mamlaka katika hali/jambo ulilokuwa unaliombea, Amuru iwe vile ulivyokuwa unamwomba Mungu iwe. Kemea kila roho ya shetani inayoweza kuwa inasababisha tatizo katika swala lako.

6. OMBEA ULINZI JUU YA ULIYOYAOMBEA. *Math 6:13a

Baada ya kupiga vita vya kiroho, weka ulinzi katika yale uliyoyaombea, ili shetani na mapepo yake wasiweze kuirudia hali/jambo/mtu yule uliyemkomboa kwa maombi ya vita. Yesu alisema shetani akifukuzwa mahali, haendi mbali, anasubiri kuona kama atapata upenyo wa kuparudia mahali pale alipokuwa kwanza. (Math 12:43-45). Kwahiyo, usipoweka ulinzi, kuna uwezekano wa adui kurudi na kuliharibu zaidi lile jambo uliloliombea na kulipata.

Kumbuka, unapoomba vizuri, unapokea papo hapo (katika ulimwengu wa roho), lakini udhihirisho wake katika ulimwengu wa mwili, unaweza kuchukua muda fulani. Hivyo katika muda huo wa kusubiri, shetani anaweza akapita na kuzuia au kuharibu kile unachokisubiri kidhihirike katika ulimwengu wa mwili. Ndio maana Yesu alitufundisha kuombea ulinzi, “tuokoe na yule mwovu” (Math 6:13a). Weka ulinzi juu ya mambo yako yote. Jengea wigo wa moto wa mbinguni (2Fal 6:16-17), Yafunike kwa damu ya Yesu na agiza malaika walinzi walinde mambo yako masaa yote. Omba hivyo kila siku. (Zab 34:7, Zab 91:9-11, Ebr 1:13-14)

MSIFU, MWABUDU NA KUMSHUKURU MUNGU. *Math 6:13b

Yesu alianza maombi kwa kumsifu Mungu na kumtukuza. Na akamaliza maombi yake kwa kumtukuza Mungu tena. Akasema “kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu ni zako, sasa na hata milele” akamaliza. Kwahiyo nawe kwa kumaliza maombi yako, msifu na kumshukuru Mungu tena, kwa ukuu wake, uaminifu wake, na ahadi zake juu yetu. Ndipo ufunge maombi yako.
MUHIMU: TUMIA MAANDIKO KATIKA KUOMBA *Kol 3:16

-Katika kuomba kwako, mara zote tumia maandiko kumkumbusha Mungu ahadi zake .(Isa 43:26). Mungu analiangalia neno lake ili alitimize. Sababu pekee itakayomfanya Mungu akupe alichoomba, ni ili kulitimiza neno lake. Hivyo, baada ya kumweleza unachohitaji (kwa ajili yako au kwa ajili ya mtu unayemwombea) mpe Mungu andiko/neno lake linalokupa wewe uhalali wa kuomba hicho kitu mbele zake na kupewa.

-Hata unapompinga na kumkemea shetani, baada ya kutoa amri yako dhidi yake, shetani atasubiri kusikia andiko/neno linalomnyima yeye uhalali wa kushika alichoshika. Ndio maana Yesu alimshinda shetani kwa neno la Mungu. Alisema “imeandikwa” na shetani akashindwa. “Nao wakmshinda (shetani) kwa damu ya Yesu na kwa Neno” (Ufu 12:11)

MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU
1. CHAGUA MAHALI PAZURI PA UTULIVU. *Mk 1:35

ili uweze kuomba kwa utulivu na kwa umakini, chagua au tafuta mahali pazuri

patakapokupa utulivu katika kuomba (concentration in prayer). Ndio maana Mungu
alipenda kuongea na Musa juu ya mlima. (Kut 24:12-18). Hata Yesu alizoea kwenda

kuombea mlimani, mahali palipo mbali na vurugu za watu, alipenda kwenda mlimani.
(Math 14:22-23). Tafuta mahali patulivu; chumbani, kanisani, mlimani (Math 6:5-6)

2. CHAGUA MUDA MZURI. *Mhu 3:1,7

Ili uweze kuomba kwa umakini mzuri, chagua muda mzuri ambao akili yako ma mwili

wako viko fresh. Usilazimishe kuomba hata kama akili yako au mwili wako umechoka sana. Kila jambo lina wakati wake. Kama umechoka sana, huo si muda wa kuomba, bali wa kupumzika. Usilazimishe ratiba. ni bora upumzike ili baadaye uweze kuomba vizuri baadaye. Usije ukajikuta unamkemea Yesu badala shetani. Penda kuomba wakati una nguvu ya akili na mwili, ili uwe makini kuongea na Mungu kwa akili timamu. Ndio maana Yesu alipenda kuamka alfajiri sana kwenda kuomba mlimani. (Mk 1:35, Luka 4:42)

OMBA KWA KUFUNGA WAKATI MWINGINE. *Math 6:16-18

Kufunga kula kunasaidia kudhoofisha mwili, ili roho iwe makini zaidi kuongea na Mungu kwa kina zaidi. Mwili huu siku zote haupendi kufanya mambo ya Mungu. Na mwili ukiwa umeshiba, unakuwa na uchovu na uzito wa kufanya mambo ya kiroho. Mbinu mojawapo ya kuudhibiti, ni kuunyima/kuupunguzia posho yake ya chakula. Mwili ukidhoofika kiasi, roho yako inapata nguvu na upenyo mzuri zaidi (Zab 35:13). Mashujaa wote wa imani walifunga na kuomba. Ndio maana Yesu anasema ‘mfungapo’ akimaanisha ratiba ya kufunga, ipo. Inasaidia.

5. OMBA NA RAFIKI (PRAYER PARTNER). *Mhu 4:9-10

Neno la Mungu linasema, ni heri wawili kuliko mmoja. Kuna faida ya kuomba pamoja na rafiki yako. Kwanza, mnapokuwa wawili au watatu, inaleta hamasa na ari ya kuomba zaidi. Si rahisi kujisikia mvivu unapokuwa na waombaji wenzako. Pili; nguvu ya kiroho inaongezeka. Neno linasema, mwombaji mmoja anafukuza adui elfu moja, bali wakiwa wawili, wanafukuza (sio elfu mbili) bali elfu kumi! Shangaa! (Kumb 32:20) Hiyo ni kanuni ya mbinguni/kanuni ya Ki-Mungu. Kadri mnavyoongezeka, nguvu ya Mungu huongezeka.

Kwahiyo, wakati mwingine, omba na rafiki yako, unayemwamini, unayeweza kumshirikisha mambo yako ya binafsi. Mashujaa wengi wa imani, walikuwa na marafiki wa kiroho. (Prayer Partners). Kwa Mfano:- Math 17:1-9

Musa - alikuwa na Joshua, Haruni na Huri

Eliya - alikuwa na Elisha

Daniel - alikuwa na Shadrack, Meshack na Abednego.

Yesu - alikuwa na Petro, Yakobo na Yohana.

Paul - alikuwa na Barnaba, Timotheo na Tito.

Wewe Je? Uko na nani katika urafiki wa kiroho?

Kama huna rafiki wa karibu wa kuomba naye, usikurupuke kujichaglia. Tulia umwombe Mungu akupe mtu atakayekuwa wa msaada kwako. Mtu mtakayefungamanishwa naye katika roho, hata kama mmetengana kijiografia, lakini katika roho, mko na umoja mzuri wa imani. (Math 18:18-19)

6. OMBA KATIKA MKAO UNAOKUPA UHURU NA NGUVU ZAIDI.

Katika kuomba kwa muda mrefu, mkao uliouzoea utakusaidia kwenda mwendo mrefu. Yakupasa kujua nguvu yako na udhaifu wako (strong point and weak point). Wakati wa kuomba, epuka mikao inayokuchosha haraka na tumia mikao inayokua nguvu zaidi. Kwa Mfano:- Ukiwa umechoka, usipende kuomba kwa kupiga magoti au kwa kuegemea kitandani. Ni bora uombe ukiwa umesimama au unatembea tembea, ili kuepuka usingizi na uchovu. Waombaji hodari wanaujua mikao inayowasaidia kuomba maombi marefu. Wengine hawana mikao maalum, bali wakiwa katika maombi, huwa wanabadilisha-badilisha mikao ili wasichoke. Hiyo ni mbinu nzuri pia.
Mifano ya Mashujaa wa imani;

Ibrahim – aliomba kwa kusimama (Mwa 18:22)

Daniel - aliomba kwa kupiga magoti (Dan 6:10)

Paul - aliomba kwa kupiga magoti (Efe 3:14)

Yesu - aliomba kwa kulala chini (Math 26:38-39)

Eliya - aliomba kwa kukaa chini na

kuweka kichwa kati ya miguu (1Fal 18:42)

Mimi - huwa napenda kuomba kwa kutembea tembea

Naweza kumaliza kilomita nyingi chumbani kwangu

Nikitembea huku nikiomba.

Wewe Je? Unaujua mkao wa nguvu? Kama hujui, Tafuta kujua.

OMBA NA MUZIKI LAINI KWA KUMWABUDU MUNGU.

Muziki wa kiroho, na wataratibu, unaweza kukutengenezea mazingira mazuri sana ya kuomba kwa muda mrefu. Muziki wa kuabudu, unavuta uwepo wa Mungu kwa namna ya pekee. Neno linasema, waimbaji na wanamuziki walipoimba na muziki ukapigwa, nao wakawa kama mtu mmoja, utukufu wa Mungu ukashuka na kulijaza lile hekalu hata makuhani hawakuweza tena kuhudumu (2Nyak 5:12-14). Kule mbinguni, kila malaika wa sifa, ana kinubi (zeze/gitaa). Elisha hakutoa unabii, mpaka mpiga kinubi alipopiga kwa ustadi, ndipo mkono wa Bwana (Roho wa Mungu) alipokija juu yake, naye akatabiri.
Najaribu kukuonyesha, kuna connection kati ya muziki wa kiroho na utukufu wa Mungu. Kwahiyo, ukiweza kuomba huku umeweka kanda au CD ya nyimbo za kiroho za taratibu, utapata (experience) hamasa ya kiroho (motivation) na utasikia una nguvu ya kuomba kwa muda mrefu. Kama unaweza, tengeneza kanda au CD maalum yenye nyimbo nzuri unazozipenda wewe, ili uwe unaipiga wakati wa maombi. Utajikuta unaweza kuomba kwa muda mrefu na kwa bubujiko zuri zaidi
Nimeshashika sana screen ya TV wakati anaomba ili nipate kazi lakini wapi??..yerewiiiii....majanga mbona majanga mwenzenu. Wanasema God's time is the best. Nataka niende pale kwa Reinard Bonke nikajaribu kuombewa but nasikia mastory yake tena mara ooh..alishawahi kukamatwa anaingiza sembe bongo...mara ooh..sijui eti eti hana upako sana...yan mpaka nachanganikiwa...yan full mastory. .mavimavi tu. Sio kwamba simwamini Mungu but sasa ivi kuna wachungaji wengi sana wanatumiwa na ibilisi. ...so yatupasa kua makini sana. Nani hapa anamjua Bonke vizuri......anikomvinc kupitia miujiza yake...
 
Jana kabla sijalala...nilishika screen wakati TB Joshua anawaombea viewers...nikatetemeka mwili. Nashangaa leo. ..naitwa interview TRA. MUNGU ANIPIGANIE NIIPATE KAZI HIYO. AMINA.

Amen, Mungu akutangulie na usiache kuomba na kuamini pia..
 
Nimeshashika sana screen ya TV wakati anaomba ili nipate kazi lakini wapi??..yerewiiiii....majanga mbona majanga mwenzenu. Wanasema God's time is the best. Nataka niende pale kwa Reinard Bonke nikajaribu kuombewa but nasikia mastory yake tena mara ooh..alishawahi kukamatwa anaingiza sembe bongo...mara ooh..sijui eti eti hana upako sana...yan mpaka nachanganikiwa...yan full mastory. .mavimavi tu. Sio kwamba simwamini Mungu but sasa ivi kuna wachungaji wengi sana wanatumiwa na ibilisi. ...so yatupasa kua makini sana. Nani hapa anamjua Bonke vizuri......anikomvinc kupitia miujiza yake...

siku za mwisho watu watakua watafuta miujiza
 
Kweli Mungu anajibu pale kunapokuwa na iman kamili. tatizo letu tunamuekea Mungu mipaka ktk maombi yetu but God anajibu.
 
Ayubu alimwambia Mungu najua kuwa unaweza fanya mambo yote na makusudi yako hayawezi zuilika! hivo kazi tutapata tu!
 
Nenda kwa Sabato (seventh day adventist church) siyo 'sabato masalia' wa uwanja wa ndege tafadhali
 
Nimeshashika sana screen ya TV wakati anaomba ili nipate kazi lakini wapi??..yerewiiiii....majanga mbona majanga mwenzenu. Wanasema God's time is the best. Nataka niende pale kwa Reinard Bonke nikajaribu kuombewa but nasikia mastory yake tena mara ooh..alishawahi kukamatwa anaingiza sembe bongo...mara ooh..sijui eti eti hana upako sana...yan mpaka nachanganikiwa...yan full mastory. .mavimavi tu. Sio kwamba simwamini Mungu but sasa ivi kuna wachungaji wengi sana wanatumiwa na ibilisi. ...so yatupasa kua makini sana. Nani hapa anamjua Bonke vizuri......anikomvinc kupitia miujiza yake...

Mch Msigwa anatukumbusha kuwa Biblia inasema asiefanya kazi na asile siyo aombewe!
 
Nisamehewe kama nakosea, but kwangu mimi huwa napenda kuwa na mahusiano binafsi na MUNGU na ambayo sitaki yawe influenced na vitu vingine, mimi nina mifano yangu binafsi ya KUMUONA MUNGU katika maisha yangu ya kila siku, hata kazi niliyonayo hii sikufanya Interview na ilikua in the last last minute, nimetangaza ndoa, sina kazi na muda umekaribia! Napata kazi kwa urahisi tu, huu ni mfano mdogo sana kati ya mingi. Usikubali kuweka middleman kwenye relation yako na MUNGU wako, hata ukienda kuombewa kumbuka na wewe kuomba mwenyewe! Tuache uvivu wa kutaka kufanyiwa kila kitu.

Ushauri wangu, subiri wakati wa MUNGU ufike, simaanishi kwamba usi-struggle No No wakati wa MUNGU unafika kwa wewe pia ku-struggle, work hard lakini pia mkumbushe MUNGU, mweleze, amka usiku omba, sali, kabla ya kulala mshukuru MUNGU ukiamka do the same, you dont need a two hour prayer or fifteen minutes praying NOP, na katika maombi yako ACHA KULALAMIKA bali mshukuru MUNGU kuwa wewe umzima na kwamba japo umzima lakini kuna mambo pia ungeyapenda uyaone kwa macho ya nyama (hapa wengi hua tunakosea kwasababu tunaomba vitu au kazi ili kuwakomoa wengine, ndugu yangu ukishaweka hayo mawazo sahau) maana MUNGU hataruhusu akupe vitu ambavyo vitakufanya uache ulokole wako au mapenzi yako kwa MUNGU yapungue, umeomba kazi, umepata kazi, sasa kuabudu hutaki kwasababu uko BUSY na KAZI, Mpuuzi wewe, MUNGU atachukua kazi hio na hutakua na cha kusema.

CC: Mamndenyi Aine ladyfurahia Mtambuzi na wapendwa wengine
Ahsante sana Elli kwa maoni yako kwa kweli. Mungu anampenda kila mtu na anampenda pia kb52. Ndg yangu, soma Mhubiri 3:1........ biblia inasema kila jambo na wakati wake, Soma pia Yeremia 29:11 biblia inasema, nayajua mawazo ninayowawazia, kwa hiyo ndg yangu kb52, Mungu anajua mawazo anayokuwazia, utapata kazi nzuri sana, ila mche Mungu kwa ukamilifu, omba nila kuchoka ipo siku atasikia kilio chako. Soma pia Mathayo 7:7....

Kila la kheri na ubarikiwe usikate tamaa ipo siku utacheka na kufurahi
 
Mimi simjui huyo TB Joshua ila namjua Bonke kwamba aliwahi kukamatwa kwa ushoga na akikiri mbele ya watu na kuomba radhi kwa mke wake kwa matendo aliyokuwa anayafanya. Ninachotaka kusema ni kwamba husiombe kwa mtu au mchungaji au padre bali omba kwa Mungu wako naye atasikia sala zako kama kweli umeomba kweli
Kabla ya kuomba fuata haya:
MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU. *Rum 8:26-27 *Yoh 14:16-17
FANYA TOBA NA UTAKASO. *Isa 59:1-2, Yoh 9:31, 1Yoh 1:8-9,7
Sikio la Bwana si zito kusikia wala mkono wake si mfupi kushindwa kututendea mambo tumwombayo, bali maovu yetu ndiyo yanatufarakanisha na Mungu wetu. Mungu hawasikii wenye dhambi. Hivyo chukua muda wa kutafakari na kuungama dhambi zako mbele za Mungu na kuzitubu kwa kumaanisha kuziacha. Mungu ni mwaminifu kutusamehe na kututakasa na uchafu wote. (Isa 1:18). Lakini, kabla hujafanya toba yako binfsi;

za, samehe wote waliokukosea, hata kama hawajaja

kukuomba msamaha. Usipowasamehe waliokukosea, na Mungu
hataweza kukusamehe wewe. (Math 6:12,14-15)

(ii) - Ndipo nawe ufanye toba yako binafsi. Na Mungu atakusamehe kabisa.
Hata kama ni nyekundu sana, zitakuwa nyeupe sana. (Isa 1:18, Isa 43:25)

3. MSIFU, MUABUDU NA KUMSHUKURU MUNGU. *Zab 147 na Zab 148

Msifu Bwana kwa Matendo yake makuu, mwabudu Bwana kwa uzuri wake na kwa sifa zake. Mwadhimishe Mungu kwa Tabia zake, wema wake, fadhili zake na baraka zake mbalimbali anazotutendea. Sifa yako ikifika vizuri mbele za Mungu, ndipo atakuwa tayari kukupa haja za moyo wako. Haja zetu zimefichwa nyuma ya mgomgo wa sifa. Ndio maana Neno linasema;

‘Nawe utajifurahisha kwa Bwana (kwa kumsifu, kumwabudu na kumshukuru), naye atakupa
haja za moyo wako' (Zab37:4).

Yesu anatuonyesha mfano; angalia sentensi yake ya kwanza katika kuomba kwake imekuwa "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe." (Math 6:9). Anaanza maombi kwa kumsifu Mungu. Msifu Mungu kwa kuimba na kwa kunena/kusema/kuelezea. Mungu anataka kusifiwa na kutukuzwa. Ukifanya sifa nzuri, ya kuufurahisha moyo wake, atakupa hata na vile ambavyo hukutegemea/hukuomba.
4. MWELEZE MUNGU MAHITAJI NA HOJA ZAKO. *Wafilipi 4:6-7,19 Isa 43:26

Mweleze Mungu zile hoja zilizokusukumwa kwenda kumwomba. Nenda mbele za Mungu kama ‘kuhani' (1Pet 2:9). Kwa unyenyekevu na heshima. Lakini kabla ya kumweleza mahitaji yako binafsi;

(i) Kwanza fanya ‘maombezi' – ombea watu wengine; (1Tim 2:1-4)

Viongozi mbalimbali na wenye mamlaka, watumishi wa Mungu, marafiki zako, wenye shida, ndugu zako, nchi yako, shule yako, shirika lenu, ofisi yenu, chama chenu, n.k. Usianze kujiombea mwenyewe tuu, zoea kuwatanguliza wengine.

(ii) Kisha fanya ‘maombi yako'– ombea haja za moyo wako. (Math 7:7-11)

Mweleze Mungu haja zako. Ongea na Mungu kwa uwazi na ukweli. Japo anazijua haja zetu, lakini ameagiza kuwa tumwombe ndipo atafanya. ‘aombaye hupokea' yaani; asiyeomba, hapati. Mungu anasema tumpelekee hoja zenye nguvu (Isa 41:21). Omba vitu vizuri na mambo makubwa ili upewe (pray for good things and big things)

5. FANYA MAOMBI YA VITA VYA ROHONI. *Efe 6:10-13 *2Kor 10:3-5

Baada ya kumwendea Mungu na kumweleza mahitaji yako, sasa simama kama ‘mfalme', kwasababu wewe ni ‘mfalme' (Ufu 5:8), tumia mamlaka yako ya kifalme, ongea na hali/hitaji ulilokuwa unaliombea, na kwa mamlaka, amuru iwe kama vile ulivyoomba/unavyotamani. Ndio maana Bwana Yesu alipokabidhiwa mamlaka yote na Mungu, naye akatukabidhi sisi (kanisa lake) "Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule adui. Wala hakuna kitakachowadhuru" (Luk 10:19, Yer 1:10, Yak 4:7). Tuma neno lenye mamlaka katika hali/jambo ulilokuwa unaliombea, Amuru iwe vile ulivyokuwa unamwomba Mungu iwe. Kemea kila roho ya shetani inayoweza kuwa inasababisha tatizo katika swala lako.

6. OMBEA ULINZI JUU YA ULIYOYAOMBEA. *Math 6:13a

Baada ya kupiga vita vya kiroho, weka ulinzi katika yale uliyoyaombea, ili shetani na mapepo yake wasiweze kuirudia hali/jambo/mtu yule uliyemkomboa kwa maombi ya vita. Yesu alisema shetani akifukuzwa mahali, haendi mbali, anasubiri kuona kama atapata upenyo wa kuparudia mahali pale alipokuwa kwanza. (Math 12:43-45). Kwahiyo, usipoweka ulinzi, kuna uwezekano wa adui kurudi na kuliharibu zaidi lile jambo uliloliombea na kulipata.

Kumbuka, unapoomba vizuri, unapokea papo hapo (katika ulimwengu wa roho), lakini udhihirisho wake katika ulimwengu wa mwili, unaweza kuchukua muda fulani. Hivyo katika muda huo wa kusubiri, shetani anaweza akapita na kuzuia au kuharibu kile unachokisubiri kidhihirike katika ulimwengu wa mwili. Ndio maana Yesu alitufundisha kuombea ulinzi, "tuokoe na yule mwovu" (Math 6:13a). Weka ulinzi juu ya mambo yako yote. Jengea wigo wa moto wa mbinguni (2Fal 6:16-17), Yafunike kwa damu ya Yesu na agiza malaika walinzi walinde mambo yako masaa yote. Omba hivyo kila siku. (Zab 34:7, Zab 91:9-11, Ebr 1:13-14)

MSIFU, MWABUDU NA KUMSHUKURU MUNGU. *Math 6:13b

Yesu alianza maombi kwa kumsifu Mungu na kumtukuza. Na akamaliza maombi yake kwa kumtukuza Mungu tena. Akasema "kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu ni zako, sasa na hata milele" akamaliza. Kwahiyo nawe kwa kumaliza maombi yako, msifu na kumshukuru Mungu tena, kwa ukuu wake, uaminifu wake, na ahadi zake juu yetu. Ndipo ufunge maombi yako.
MUHIMU: TUMIA MAANDIKO KATIKA KUOMBA *Kol 3:16

-Katika kuomba kwako, mara zote tumia maandiko kumkumbusha Mungu ahadi zake .(Isa 43:26). Mungu analiangalia neno lake ili alitimize. Sababu pekee itakayomfanya Mungu akupe alichoomba, ni ili kulitimiza neno lake. Hivyo, baada ya kumweleza unachohitaji (kwa ajili yako au kwa ajili ya mtu unayemwombea) mpe Mungu andiko/neno lake linalokupa wewe uhalali wa kuomba hicho kitu mbele zake na kupewa.

-Hata unapompinga na kumkemea shetani, baada ya kutoa amri yako dhidi yake, shetani atasubiri kusikia andiko/neno linalomnyima yeye uhalali wa kushika alichoshika. Ndio maana Yesu alimshinda shetani kwa neno la Mungu. Alisema "imeandikwa" na shetani akashindwa. "Nao wakmshinda (shetani) kwa damu ya Yesu na kwa Neno" (Ufu 12:11)

MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU
1. CHAGUA MAHALI PAZURI PA UTULIVU. *Mk 1:35

ili uweze kuomba kwa utulivu na kwa umakini, chagua au tafuta mahali pazuri

patakapokupa utulivu katika kuomba (concentration in prayer). Ndio maana Mungu
alipenda kuongea na Musa juu ya mlima. (Kut 24:12-18). Hata Yesu alizoea kwenda

kuombea mlimani, mahali palipo mbali na vurugu za watu, alipenda kwenda mlimani.
(Math 14:22-23). Tafuta mahali patulivu; chumbani, kanisani, mlimani (Math 6:5-6)

2. CHAGUA MUDA MZURI. *Mhu 3:1,7

Ili uweze kuomba kwa umakini mzuri, chagua muda mzuri ambao akili yako ma mwili

wako viko fresh. Usilazimishe kuomba hata kama akili yako au mwili wako umechoka sana. Kila jambo lina wakati wake. Kama umechoka sana, huo si muda wa kuomba, bali wa kupumzika. Usilazimishe ratiba. ni bora upumzike ili baadaye uweze kuomba vizuri baadaye. Usije ukajikuta unamkemea Yesu badala shetani. Penda kuomba wakati una nguvu ya akili na mwili, ili uwe makini kuongea na Mungu kwa akili timamu. Ndio maana Yesu alipenda kuamka alfajiri sana kwenda kuomba mlimani. (Mk 1:35, Luka 4:42)

OMBA KWA KUFUNGA WAKATI MWINGINE. *Math 6:16-18

Kufunga kula kunasaidia kudhoofisha mwili, ili roho iwe makini zaidi kuongea na Mungu kwa kina zaidi. Mwili huu siku zote haupendi kufanya mambo ya Mungu. Na mwili ukiwa umeshiba, unakuwa na uchovu na uzito wa kufanya mambo ya kiroho. Mbinu mojawapo ya kuudhibiti, ni kuunyima/kuupunguzia posho yake ya chakula. Mwili ukidhoofika kiasi, roho yako inapata nguvu na upenyo mzuri zaidi (Zab 35:13). Mashujaa wote wa imani walifunga na kuomba. Ndio maana Yesu anasema ‘mfungapo' akimaanisha ratiba ya kufunga, ipo. Inasaidia.

5. OMBA NA RAFIKI (PRAYER PARTNER). *Mhu 4:9-10

Neno la Mungu linasema, ni heri wawili kuliko mmoja. Kuna faida ya kuomba pamoja na rafiki yako. Kwanza, mnapokuwa wawili au watatu, inaleta hamasa na ari ya kuomba zaidi. Si rahisi kujisikia mvivu unapokuwa na waombaji wenzako. Pili; nguvu ya kiroho inaongezeka. Neno linasema, mwombaji mmoja anafukuza adui elfu moja, bali wakiwa wawili, wanafukuza (sio elfu mbili) bali elfu kumi! Shangaa! (Kumb 32:20) Hiyo ni kanuni ya mbinguni/kanuni ya Ki-Mungu. Kadri mnavyoongezeka, nguvu ya Mungu huongezeka.

Kwahiyo, wakati mwingine, omba na rafiki yako, unayemwamini, unayeweza kumshirikisha mambo yako ya binafsi. Mashujaa wengi wa imani, walikuwa na marafiki wa kiroho. (Prayer Partners). Kwa Mfano:- Math 17:1-9

Musa - alikuwa na Joshua, Haruni na Huri

Eliya - alikuwa na Elisha

Daniel - alikuwa na Shadrack, Meshack na Abednego.

Yesu - alikuwa na Petro, Yakobo na Yohana.

Paul - alikuwa na Barnaba, Timotheo na Tito.

Wewe Je? Uko na nani katika urafiki wa kiroho?

Kama huna rafiki wa karibu wa kuomba naye, usikurupuke kujichaglia. Tulia umwombe Mungu akupe mtu atakayekuwa wa msaada kwako. Mtu mtakayefungamanishwa naye katika roho, hata kama mmetengana kijiografia, lakini katika roho, mko na umoja mzuri wa imani. (Math 18:18-19)

6. OMBA KATIKA MKAO UNAOKUPA UHURU NA NGUVU ZAIDI.

Katika kuomba kwa muda mrefu, mkao uliouzoea utakusaidia kwenda mwendo mrefu. Yakupasa kujua nguvu yako na udhaifu wako (strong point and weak point). Wakati wa kuomba, epuka mikao inayokuchosha haraka na tumia mikao inayokua nguvu zaidi. Kwa Mfano:- Ukiwa umechoka, usipende kuomba kwa kupiga magoti au kwa kuegemea kitandani. Ni bora uombe ukiwa umesimama au unatembea tembea, ili kuepuka usingizi na uchovu. Waombaji hodari wanaujua mikao inayowasaidia kuomba maombi marefu. Wengine hawana mikao maalum, bali wakiwa katika maombi, huwa wanabadilisha-badilisha mikao ili wasichoke. Hiyo ni mbinu nzuri pia.
Mifano ya Mashujaa wa imani;

Ibrahim – aliomba kwa kusimama (Mwa 18:22)

Daniel - aliomba kwa kupiga magoti (Dan 6:10)

Paul - aliomba kwa kupiga magoti (Efe 3:14)

Yesu - aliomba kwa kulala chini (Math 26:38-39)

Eliya - aliomba kwa kukaa chini na

kuweka kichwa kati ya miguu (1Fal 18:42)

Mimi - huwa napenda kuomba kwa kutembea tembea

Naweza kumaliza kilomita nyingi chumbani kwangu

Nikitembea huku nikiomba.

Wewe Je? Unaujua mkao wa nguvu? Kama hujui, Tafuta kujua.

OMBA NA MUZIKI LAINI KWA KUMWABUDU MUNGU.

Muziki wa kiroho, na wataratibu, unaweza kukutengenezea mazingira mazuri sana ya kuomba kwa muda mrefu. Muziki wa kuabudu, unavuta uwepo wa Mungu kwa namna ya pekee. Neno linasema, waimbaji na wanamuziki walipoimba na muziki ukapigwa, nao wakawa kama mtu mmoja, utukufu wa Mungu ukashuka na kulijaza lile hekalu hata makuhani hawakuweza tena kuhudumu (2Nyak 5:12-14). Kule mbinguni, kila malaika wa sifa, ana kinubi (zeze/gitaa). Elisha hakutoa unabii, mpaka mpiga kinubi alipopiga kwa ustadi, ndipo mkono wa Bwana (Roho wa Mungu) alipokija juu yake, naye akatabiri.
Najaribu kukuonyesha, kuna connection kati ya muziki wa kiroho na utukufu wa Mungu. Kwahiyo, ukiweza kuomba huku umeweka kanda au CD ya nyimbo za kiroho za taratibu, utapata (experience) hamasa ya kiroho (motivation) na utasikia una nguvu ya kuomba kwa muda mrefu. Kama unaweza, tengeneza kanda au CD maalum yenye nyimbo nzuri unazozipenda wewe, ili uwe unaipiga wakati wa maombi. Utajikuta unaweza kuomba kwa muda mrefu na kwa bubujiko zuri zaidi

barikiwa sana hadi ushangae!
 
hivi huyu Mungu mnamfanya kama binadamu au vipi, mungu yupo kokote na sio lazima uombewe na mtu fulani ndio akusikie na kujua kuwa wewe unashida, simama katika imani yako yakweli ambayo unaiamini kisha sema na mungu wako atakusikia na pia ukumbuke kuwa mungu daima anakupa kilicho bora kwako hivyo ukiona unachokiomba hukipati sio uhame dini, au ubadilishe waombaji kwa kuwa huwezi jua mungu anakuepusha na janga gani katika hilo unalong'ang'ania kulipata. Stick on your faith Mungu ni mkuu na ana upendo other wise utahama sana na kubadilisha waombezi na utaombewa na shetani sasa bila kujua.
 
Kushika screen tu hakutoshi. You must act!! Tafuta hiyo kazi utapata. Kazi haishushwi kama njugu kwa vile umegusa screen. Sifa za hiyo kazi unayotafuta unazo? Umetafuta wapi? Imani lazima iambatane na matendo!! Start acting!!!
Nimeshashika sana screen ya TV wakati anaomba ili nipate kazi lakini wapi??..yerewiiiii....majanga mbona majanga mwenzenu. Wanasema God's time is the best. Nataka niende pale kwa Reinard Bonke nikajaribu kuombewa but nasikia mastory yake tena mara ooh..alishawahi kukamatwa anaingiza sembe bongo...mara ooh..sijui eti eti hana upako sana...yan mpaka nachanganikiwa...yan full mastory. .mavimavi tu. Sio kwamba simwamini Mungu but sasa ivi kuna wachungaji wengi sana wanatumiwa na ibilisi. ...so yatupasa kua makini sana. Nani hapa anamjua Bonke vizuri......anikomvinc kupitia miujiza yake...
 
kb52,

Umesema unamwamini Mungu. Thats good and fine. Sasa kwanini usimwombe mwenyewe unasubiria kuombewa na watu? Watu siku zote wanashida na mapungufu yao. Mwombe Mungu mwenyewe, anakusikia!
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa jitahidi ku2mia lugha ya hekima kama maandiko yanavyosema. Neno la upole hugeuza gadhabu...
 
Huwezi kuingilia ratiba ya mungu! We ni mwema kuliko ibrahm? Au elizabet? walichelewa kupata watoo.wakati ukifka utapat
 
kwa nini usisimame mwenyewe katika imani.....hebu simama katika huu mstari uone kama hujapata kazi ndani ya wiki.......

John 14:13-14
And I will do whatever you ask in my name, so that the father may be glorified in the Son
If you ask me anything in my name, I will do it

and makesure is praying by faith not doubt

mmhh majanga kaandika kiswahili kumbe haya
jitahidi usali kwa imani na sio wasiwasi wapo wengi awaaapati sababu ya imani yao haba
 
Mimi simjui huyo TB Joshua ila namjua Bonke kwamba aliwahi kukamatwa kwa ushoga na akikiri mbele ya watu na kuomba radhi kwa mke wake kwa matendo aliyokuwa anayafanya. Ninachotaka kusema ni kwamba husiombe kwa mtu au mchungaji au padre bali omba kwa Mungu wako naye atasikia sala zako kama kweli umeomba kweli
Kabla ya kuomba fuata haya:
MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU. *Rum 8:26-27 *Yoh 14:16-17
FANYA TOBA NA UTAKASO. *Isa 59:1-2, Yoh 9:31, 1Yoh 1:8-9,7
Sikio la Bwana si zito kusikia wala mkono wake si mfupi kushindwa kututendea mambo tumwombayo, bali maovu yetu ndiyo yanatufarakanisha na Mungu wetu. Mungu hawasikii wenye dhambi. Hivyo chukua muda wa kutafakari na kuungama dhambi zako mbele za Mungu na kuzitubu kwa kumaanisha kuziacha. Mungu ni mwaminifu kutusamehe na kututakasa na uchafu wote. (Isa 1:18). Lakini, kabla hujafanya toba yako binfsi;

za, samehe wote waliokukosea, hata kama hawajaja

kukuomba msamaha. Usipowasamehe waliokukosea, na Mungu
hataweza kukusamehe wewe. (Math 6:12,14-15)

(ii) - Ndipo nawe ufanye toba yako binafsi. Na Mungu atakusamehe kabisa.
Hata kama ni nyekundu sana, zitakuwa nyeupe sana. (Isa 1:18, Isa 43:25)

3. MSIFU, MUABUDU NA KUMSHUKURU MUNGU. *Zab 147 na Zab 148

Msifu Bwana kwa Matendo yake makuu, mwabudu Bwana kwa uzuri wake na kwa sifa zake. Mwadhimishe Mungu kwa Tabia zake, wema wake, fadhili zake na baraka zake mbalimbali anazotutendea. Sifa yako ikifika vizuri mbele za Mungu, ndipo atakuwa tayari kukupa haja za moyo wako. Haja zetu zimefichwa nyuma ya mgomgo wa sifa. Ndio maana Neno linasema;

‘Nawe utajifurahisha kwa Bwana (kwa kumsifu, kumwabudu na kumshukuru), naye atakupa
haja za moyo wako’ (Zab37:4).

Yesu anatuonyesha mfano; angalia sentensi yake ya kwanza katika kuomba kwake imekuwa “Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe.” (Math 6:9). Anaanza maombi kwa kumsifu Mungu. Msifu Mungu kwa kuimba na kwa kunena/kusema/kuelezea. Mungu anataka kusifiwa na kutukuzwa. Ukifanya sifa nzuri, ya kuufurahisha moyo wake, atakupa hata na vile ambavyo hukutegemea/hukuomba.
4. MWELEZE MUNGU MAHITAJI NA HOJA ZAKO. *Wafilipi 4:6-7,19 Isa 43:26

Mweleze Mungu zile hoja zilizokusukumwa kwenda kumwomba. Nenda mbele za Mungu kama ‘kuhani’ (1Pet 2:9). Kwa unyenyekevu na heshima. Lakini kabla ya kumweleza mahitaji yako binafsi;

(i) Kwanza fanya ‘maombezi’ – ombea watu wengine; (1Tim 2:1-4)

Viongozi mbalimbali na wenye mamlaka, watumishi wa Mungu, marafiki zako, wenye shida, ndugu zako, nchi yako, shule yako, shirika lenu, ofisi yenu, chama chenu, n.k. Usianze kujiombea mwenyewe tuu, zoea kuwatanguliza wengine.

(ii) Kisha fanya ‘maombi yako’– ombea haja za moyo wako. (Math 7:7-11)

Mweleze Mungu haja zako. Ongea na Mungu kwa uwazi na ukweli. Japo anazijua haja zetu, lakini ameagiza kuwa tumwombe ndipo atafanya. ‘aombaye hupokea’ yaani; asiyeomba, hapati. Mungu anasema tumpelekee hoja zenye nguvu (Isa 41:21). Omba vitu vizuri na mambo makubwa ili upewe (pray for good things and big things)

5. FANYA MAOMBI YA VITA VYA ROHONI. *Efe 6:10-13 *2Kor 10:3-5

Baada ya kumwendea Mungu na kumweleza mahitaji yako, sasa simama kama ‘mfalme’, kwasababu wewe ni ‘mfalme’ (Ufu 5:8), tumia mamlaka yako ya kifalme, ongea na hali/hitaji ulilokuwa unaliombea, na kwa mamlaka, amuru iwe kama vile ulivyoomba/unavyotamani. Ndio maana Bwana Yesu alipokabidhiwa mamlaka yote na Mungu, naye akatukabidhi sisi (kanisa lake) “Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za yule adui. Wala hakuna kitakachowadhuru” (Luk 10:19, Yer 1:10, Yak 4:7). Tuma neno lenye mamlaka katika hali/jambo ulilokuwa unaliombea, Amuru iwe vile ulivyokuwa unamwomba Mungu iwe. Kemea kila roho ya shetani inayoweza kuwa inasababisha tatizo katika swala lako.

6. OMBEA ULINZI JUU YA ULIYOYAOMBEA. *Math 6:13a

Baada ya kupiga vita vya kiroho, weka ulinzi katika yale uliyoyaombea, ili shetani na mapepo yake wasiweze kuirudia hali/jambo/mtu yule uliyemkomboa kwa maombi ya vita. Yesu alisema shetani akifukuzwa mahali, haendi mbali, anasubiri kuona kama atapata upenyo wa kuparudia mahali pale alipokuwa kwanza. (Math 12:43-45). Kwahiyo, usipoweka ulinzi, kuna uwezekano wa adui kurudi na kuliharibu zaidi lile jambo uliloliombea na kulipata.

Kumbuka, unapoomba vizuri, unapokea papo hapo (katika ulimwengu wa roho), lakini udhihirisho wake katika ulimwengu wa mwili, unaweza kuchukua muda fulani. Hivyo katika muda huo wa kusubiri, shetani anaweza akapita na kuzuia au kuharibu kile unachokisubiri kidhihirike katika ulimwengu wa mwili. Ndio maana Yesu alitufundisha kuombea ulinzi, “tuokoe na yule mwovu” (Math 6:13a). Weka ulinzi juu ya mambo yako yote. Jengea wigo wa moto wa mbinguni (2Fal 6:16-17), Yafunike kwa damu ya Yesu na agiza malaika walinzi walinde mambo yako masaa yote. Omba hivyo kila siku. (Zab 34:7, Zab 91:9-11, Ebr 1:13-14)

MSIFU, MWABUDU NA KUMSHUKURU MUNGU. *Math 6:13b

Yesu alianza maombi kwa kumsifu Mungu na kumtukuza. Na akamaliza maombi yake kwa kumtukuza Mungu tena. Akasema “kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu ni zako, sasa na hata milele” akamaliza. Kwahiyo nawe kwa kumaliza maombi yako, msifu na kumshukuru Mungu tena, kwa ukuu wake, uaminifu wake, na ahadi zake juu yetu. Ndipo ufunge maombi yako.
MUHIMU: TUMIA MAANDIKO KATIKA KUOMBA *Kol 3:16

-Katika kuomba kwako, mara zote tumia maandiko kumkumbusha Mungu ahadi zake .(Isa 43:26). Mungu analiangalia neno lake ili alitimize. Sababu pekee itakayomfanya Mungu akupe alichoomba, ni ili kulitimiza neno lake. Hivyo, baada ya kumweleza unachohitaji (kwa ajili yako au kwa ajili ya mtu unayemwombea) mpe Mungu andiko/neno lake linalokupa wewe uhalali wa kuomba hicho kitu mbele zake na kupewa.

-Hata unapompinga na kumkemea shetani, baada ya kutoa amri yako dhidi yake, shetani atasubiri kusikia andiko/neno linalomnyima yeye uhalali wa kushika alichoshika. Ndio maana Yesu alimshinda shetani kwa neno la Mungu. Alisema “imeandikwa” na shetani akashindwa. “Nao wakmshinda (shetani) kwa damu ya Yesu na kwa Neno” (Ufu 12:11)

MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU
1. CHAGUA MAHALI PAZURI PA UTULIVU. *Mk 1:35

ili uweze kuomba kwa utulivu na kwa umakini, chagua au tafuta mahali pazuri

patakapokupa utulivu katika kuomba (concentration in prayer). Ndio maana Mungu
alipenda kuongea na Musa juu ya mlima. (Kut 24:12-18). Hata Yesu alizoea kwenda

kuombea mlimani, mahali palipo mbali na vurugu za watu, alipenda kwenda mlimani.
(Math 14:22-23). Tafuta mahali patulivu; chumbani, kanisani, mlimani (Math 6:5-6)

2. CHAGUA MUDA MZURI. *Mhu 3:1,7

Ili uweze kuomba kwa umakini mzuri, chagua muda mzuri ambao akili yako ma mwili

wako viko fresh. Usilazimishe kuomba hata kama akili yako au mwili wako umechoka sana. Kila jambo lina wakati wake. Kama umechoka sana, huo si muda wa kuomba, bali wa kupumzika. Usilazimishe ratiba. ni bora upumzike ili baadaye uweze kuomba vizuri baadaye. Usije ukajikuta unamkemea Yesu badala shetani. Penda kuomba wakati una nguvu ya akili na mwili, ili uwe makini kuongea na Mungu kwa akili timamu. Ndio maana Yesu alipenda kuamka alfajiri sana kwenda kuomba mlimani. (Mk 1:35, Luka 4:42)

OMBA KWA KUFUNGA WAKATI MWINGINE. *Math 6:16-18

Kufunga kula kunasaidia kudhoofisha mwili, ili roho iwe makini zaidi kuongea na Mungu kwa kina zaidi. Mwili huu siku zote haupendi kufanya mambo ya Mungu. Na mwili ukiwa umeshiba, unakuwa na uchovu na uzito wa kufanya mambo ya kiroho. Mbinu mojawapo ya kuudhibiti, ni kuunyima/kuupunguzia posho yake ya chakula. Mwili ukidhoofika kiasi, roho yako inapata nguvu na upenyo mzuri zaidi (Zab 35:13). Mashujaa wote wa imani walifunga na kuomba. Ndio maana Yesu anasema ‘mfungapo’ akimaanisha ratiba ya kufunga, ipo. Inasaidia.

5. OMBA NA RAFIKI (PRAYER PARTNER). *Mhu 4:9-10

Neno la Mungu linasema, ni heri wawili kuliko mmoja. Kuna faida ya kuomba pamoja na rafiki yako. Kwanza, mnapokuwa wawili au watatu, inaleta hamasa na ari ya kuomba zaidi. Si rahisi kujisikia mvivu unapokuwa na waombaji wenzako. Pili; nguvu ya kiroho inaongezeka. Neno linasema, mwombaji mmoja anafukuza adui elfu moja, bali wakiwa wawili, wanafukuza (sio elfu mbili) bali elfu kumi! Shangaa! (Kumb 32:20) Hiyo ni kanuni ya mbinguni/kanuni ya Ki-Mungu. Kadri mnavyoongezeka, nguvu ya Mungu huongezeka.

Kwahiyo, wakati mwingine, omba na rafiki yako, unayemwamini, unayeweza kumshirikisha mambo yako ya binafsi. Mashujaa wengi wa imani, walikuwa na marafiki wa kiroho. (Prayer Partners). Kwa Mfano:- Math 17:1-9

Musa - alikuwa na Joshua, Haruni na Huri

Eliya - alikuwa na Elisha

Daniel - alikuwa na Shadrack, Meshack na Abednego.

Yesu - alikuwa na Petro, Yakobo na Yohana.

Paul - alikuwa na Barnaba, Timotheo na Tito.

Wewe Je? Uko na nani katika urafiki wa kiroho?

Kama huna rafiki wa karibu wa kuomba naye, usikurupuke kujichaglia. Tulia umwombe Mungu akupe mtu atakayekuwa wa msaada kwako. Mtu mtakayefungamanishwa naye katika roho, hata kama mmetengana kijiografia, lakini katika roho, mko na umoja mzuri wa imani. (Math 18:18-19)

6. OMBA KATIKA MKAO UNAOKUPA UHURU NA NGUVU ZAIDI.

Katika kuomba kwa muda mrefu, mkao uliouzoea utakusaidia kwenda mwendo mrefu. Yakupasa kujua nguvu yako na udhaifu wako (strong point and weak point). Wakati wa kuomba, epuka mikao inayokuchosha haraka na tumia mikao inayokua nguvu zaidi. Kwa Mfano:- Ukiwa umechoka, usipende kuomba kwa kupiga magoti au kwa kuegemea kitandani. Ni bora uombe ukiwa umesimama au unatembea tembea, ili kuepuka usingizi na uchovu. Waombaji hodari wanaujua mikao inayowasaidia kuomba maombi marefu. Wengine hawana mikao maalum, bali wakiwa katika maombi, huwa wanabadilisha-badilisha mikao ili wasichoke. Hiyo ni mbinu nzuri pia.
Mifano ya Mashujaa wa imani;

Ibrahim – aliomba kwa kusimama (Mwa 18:22)

Daniel - aliomba kwa kupiga magoti (Dan 6:10)

Paul - aliomba kwa kupiga magoti (Efe 3:14)

Yesu - aliomba kwa kulala chini (Math 26:38-39)

Eliya - aliomba kwa kukaa chini na

kuweka kichwa kati ya miguu (1Fal 18:42)

Mimi - huwa napenda kuomba kwa kutembea tembea

Naweza kumaliza kilomita nyingi chumbani kwangu

Nikitembea huku nikiomba.

Wewe Je? Unaujua mkao wa nguvu? Kama hujui, Tafuta kujua.

OMBA NA MUZIKI LAINI KWA KUMWABUDU MUNGU.

Muziki wa kiroho, na wataratibu, unaweza kukutengenezea mazingira mazuri sana ya kuomba kwa muda mrefu. Muziki wa kuabudu, unavuta uwepo wa Mungu kwa namna ya pekee. Neno linasema, waimbaji na wanamuziki walipoimba na muziki ukapigwa, nao wakawa kama mtu mmoja, utukufu wa Mungu ukashuka na kulijaza lile hekalu hata makuhani hawakuweza tena kuhudumu (2Nyak 5:12-14). Kule mbinguni, kila malaika wa sifa, ana kinubi (zeze/gitaa). Elisha hakutoa unabii, mpaka mpiga kinubi alipopiga kwa ustadi, ndipo mkono wa Bwana (Roho wa Mungu) alipokija juu yake, naye akatabiri.
Najaribu kukuonyesha, kuna connection kati ya muziki wa kiroho na utukufu wa Mungu. Kwahiyo, ukiweza kuomba huku umeweka kanda au CD ya nyimbo za kiroho za taratibu, utapata (experience) hamasa ya kiroho (motivation) na utasikia una nguvu ya kuomba kwa muda mrefu. Kama unaweza, tengeneza kanda au CD maalum yenye nyimbo nzuri unazozipenda wewe, ili uwe unaipiga wakati wa maombi. Utajikuta unaweza kuomba kwa muda mrefu na kwa bubujiko zuri zaidi

Asante sana pamoja name kwamba ni maandiko ya bible ungemu acknowledge mtunzi wa kitabu hiki
 
Mapepo na majini ya kina sheikh ...... Yamehamia jf tena loh
haya nasubiri mbio zenu ....ila muwe makini dnt touch my annointing
 
Back
Top Bottom