mi km ww tu,since 2010,hata ku aply nimechoka!so i understand u a
situation kb52!!
...emmannuel tv(TBJoshua) Mungu anamtumia kusaidia watu ht kwny masuala ya kazi kwa ss.....hyo screen nishashika km ww, nina hadi annointing water (new 1)
...niliamua nijiendeleze kusoma kuliko kukaa tu naposubiri hizo ajira,bt nothing, lkn ss naona ht shule haina maana nataka niache/niahirishe up to next yr
...Nina imani sana, ila km binadamu kuna muda unafika nakata tamaa kabisa naona hakuna ht matumaini!na mbaya zaidi unakuta frnds wana connection wanapata job ww upo 2!!